Uchaguzi 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

DE FULE

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Messages
1,153
Points
2,000

DE FULE

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2013
1,153 2,000
Usiseme asingeshinda!!

Kama ingekuwa hivyo kwanini tulienda kwenye uchaguzi?? Kwanini hayo mabilioni wasiingeenda kuanzishia miradi badala ya kuwekekeza kwenye kutaka mamlaka ya wananchi??

Kama ni hivyo kwa nini aibiwe kura zake??? Kwa nini umuibie kura mtu ambaye una uhakika wa kumshinda???
Pigeni kura kwa wingi kazi ya kumtangaza mshindi niachieni mimi!

ENL
 

DE FULE

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Messages
1,153
Points
2,000

DE FULE

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2013
1,153 2,000
Watanzania gani? Kama ni Watanzania wamepiga hizo kura mnazotangaza kwa nini mnakataza watu wasijumlishe matokeo ya vituoni? Mnaficha nini?

Kwa nini hamtumiii nakala za mawakala zilizosainiwa kwenye majimbo kupata jumla ya kura zilizopigwa badala yake mnatunga za kwenu?

Wengine mtakufa kwa dhambi za ujinga.
Ingieni msituni!
 

Forum statistics

Threads 1,382,398
Members 526,366
Posts 33,826,885
Top