Toka anasoma shaban robert sec alikua hivyo hivyo.alipofika chuo akafanyiwa mpango sijui eti akashinda mr university na kwenda ulaya. Huko ndo wakaenda kumuharibu kabisaa maana karudi macho yamelegea mikono haina nguvu midomo imelegea na anajilambalamba na visuluali vya kubana makalio vikawa havimtoki. Masikini kijana kageuka kibaiskeli watu wanakiendesha! Dunia hii we acha tu!
Ndio nani huyo wajameni..........?
kijana mmoja alisoma ifm kama sikosei akashinda mr university na akenda kuliwakilisha taifa huko duniani napo akafanya poa, baada ya hapo sikumsikia tena hadi leo,
kijana mmoja alisoma ifm kama sikosei akashinda mr university na akenda kuliwakilisha taifa huko duniani napo akafanya poa, baada ya hapo sikumsikia tena hadi leo,