Matron wa Alfagems Sec School Morogoro

Matron wa Alfagems Sec School Morogoro

TIKEI

Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
62
Reaction score
6
Habari wakuu,

Naomba mwenye number ya Matron wa Alfagems Sec. School anisaidie
 
ya nini dogo?isiwe unataka kutorosha mabinti.maana matron na walinzi ndo dili zao hizi
 
Mwanangu amefika pale sasa hv kaambiwa hostel zimeisha sasa nataka kufanya mawasiliano na matron kupata uhakika.
 
Tazama kwenye joining instruction unaweza kupata namba ya simu ya utawala nao watakuunganisha kwa matron wao
 
Mwambie mwanao amtafute matron halafu ampe no yako akubeep
 
Mwambie mwanao aende Polisi then wao ndio wamtafute Matron
 
Piga hizo namba kama hauna kujaribu, nimezitoa now kwenye website yao. Kila la kheri..

ALFAGEMS SECONDARY SCHOOL

P.O.Box 6083 – MOROGORO

Tel. 0765-899959 / 0713-784600

www.alfagems.com
 
Back
Top Bottom