Kuna kitu ambacho watu hawajajua Kuhusu Tracta,
Matrecta yanauwezo wa Kufanya kazi nyingi sana kuliko mashine ypoyote ile,
1. Yana Saga Unga
2. Yana Drill Visima
3. Ynachimba mashimo
4. Yana fyeka
5. Yanapukuchua mahindi
6. Yana lima Barabara kama ma greda
Ni nyingi sana kinacho takiwa ni kutafuta hizo vifaa vayke ambavyo mara nyingi vinapatikana nje ya Nchi, Sema watu wengi wakiagiza trecta wana kumbuka Jembe na Tela pekee,