Matola na Bodi ya wakurugenzi Simba kunanini? Ni upigaji tu, ushirikina au kumkomesha Mo

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,792
Reaction score
2,421
Washabiki hawamtaki Matola tokea Zamani mno. Kila kocha hufukuzwa na kubaki yaye tu ana nini.

Kocha wa timu kubwa sio kazi ya kilamtu. Shabiki gani atalipia kiingilio kwenda kumuangalia matola.

Kwa wazawa Mgunda anaiweza Simba kuliko mbongo yoyote. Gharama za kawaida tu.

Kongo alikuwepo ibenge. South Afrika alikuwepo Pisto Masinane. Chelsea alikuwepo Mourinho, Man U Alex Fargason, Arsenal Wenger na brazil Mario Zagaro.

Simba ni Mgunda.
 
Simba bila ya Matola haiendi. Matola ndiye mganga mkuu wa timu.
 
Matola simpendi yule mzee, sijui likoje yaani.
Aaaah
 
Kocha mkuu anakuja na wa wasaidizi wake wawili. Matola anakuwa kocha msaidizi kivipi wakati kocha mkuu anao wasaidizi wake tayari. Viongozi walitafakari hili, huyu matola kipara ni kirusi hapo depotivo de la makolo Dar Es Saalam.
 
Matola anawekwa na viongozi hapo wanaopanga Timu nani acheze na nani asicheze kwa maslahi ya viongozi na 10 % wanayopata kutoka kwa hao wachezaji wao simba wameachwa wachezaji wazuri hao wanaoletwa utani mtupu hii ni Klabu Bingwa sio kombe la shirikisho.
 
Washabiki hawamtaki Matola tokea Zamani mno. Kila kocha hufukuzwa na kubaki yaye tu ana nini.

Kocha wa timu kubwa sio kazi ya kilamtu. Shabiki gani atalipia kiingilio kwenda kumuangalia matola.

Kwa wazawa Mgunda anaiweza Simba kuliko mbongo yoyote. Gharama za kawaida tu.

Kongo alikuwepo ibenge. South Afrika alikuwepo Pisto Masinane. Chelsea alikuwepo Mourinho, Man U Alex Fargason, Arsenal Wenger na brazil Mario Zagaro.

Simba ni Mgunda.
Matola mjini kitambo
 
Sijui kwanini ila SURA YA MATOLA NIMEICHOKA TU
 
Matola anawekwa na viongozi hapo wanaopanga Timu nani acheze na nani asicheze kwa maslahi ya viongozi na 10 % wanayopata kutoka kwa hao wachezaji wao simba wameachwa wachezaji wazuri hao wanaoletwa utani mtupu hii ni Klabu Bingwa sio kombe la shirikisho.
Sawa sawa
 
Hakuna muha fala nyie pigeni kelele mkimaliza mkalale
 
Back
Top Bottom