Matokeo yangu ya hesabu

Sifa ni sifa tu hata kama za muda mfupi unapaswa kukifurahia kipindi kile kifupi AMBacho watu waliojua umepasua kumbe sio.

Ila katika masomo nimejifunza ukifeli siyo kwamba huna akili
 
Umenikumbusha kipindi ambacho nipo sekondari tulifanya mtihani mmoja wa hesabu sasa tugagawiwa mitihani lakini nilipata mark ndogo sana.Mwalimu alikuwa anafanya masahihisho basi kuna jamaa mmoja alipasua kweli sasa wakati mwalimu anafanya masahihisho jamaa akanyosha mkono akamwambia mwalimu amekosekoseshwa basi akaongezewa marks .lakini mimi pamoja na kufeli nikiangali kama kuna swali lolote nililo koreshwa silioni bali naona swali nililopatishwa.Mambo haya yalikuwa yanakatisha tamaa sana.
 

Ah ah aj
 

Aisee nilcheka sana kila m2 ofcn alnishangaa nikaambiwa nimeweuka, nikasema ebu wote nisklze nikawasomea walcheka sana, inaburudshaa sana nikboreka nakuja hapa kucheka.
 
Heheeee, nilipataga hamna mtihani wa hesabu Form two. Sitasahau kwa kweli.
 
Heheeee, nilipataga hamna mtihani wa hesabu Form two. Sitasahau kwa kweli.
hisabati lolote laweza tokea,wengi hata ukipata formula au njia kama jibu ni kosa hawakupi hata nusu marki.
 
Aisee nilcheka sana kila m2 ofcn alnishangaa nikaambiwa nimeweuka, nikasema ebu wote nisklze nikawasomea walcheka sana, inaburudshaa sana nikboreka nakuja hapa kucheka.
ndo hivo bhana usicheze na hesabu
 


Ha! Ha! Ha! Joke yako imeitendea haki avatar yako!
 
Nimechekaje? Unaweza kuwa shallow number ila kwa uandishi na usimuliaji uko nondo hasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…