Advicer
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 533
- 272
kufungua kuna makundi mawili moja litaenda baada ya kutoa selection jingine mwakani mwanzoni kati ya Jan, Feb au March
mKuu hauna tetesi wanahtaji wangapi na wameapply wangapi?

Matokeo mpaka tar 15 oct
Sina tetesi kama hizo ila tu tetesi iliyopo ni kuwa sababu ya kuchelewa kutoa ni kundi kubwa la waloappy walikuwa hawana sifa na vigezo vya course na wale wote watakaochaguliwa ada itakuwa 700,000/=
dah!ebwana mungu nisaidie nina ful pcb.
kaka mi nina phy c,chem c,na bios c sijui itakuaje?
Unaulizia matokeo ya uchunguzi wa dawa ya babu wa loliondo?Jaman hv matokeo ya wizara ya afya yatatoka lin? Maana tushachoka kusubiri!
dah!ebwana mungu nisaidie nina foolish pcb.
mkuu are seriuos? hapo kwenye bold..
Sina tetesi kama hizo ila tu tetesi iliyopo ni kuwa sababu ya kuchelewa kutoa ni kundi kubwa la waloappy walikuwa hawana sifa na vigezo vya course na wale wote watakaochaguliwa ada itakuwa 700,000/=
Sina tetesi kama hizo ila tu tetesi iliyopo ni kuwa sababu ya kuchelewa kutoa ni kundi kubwa la waloappy walikuwa hawana sifa na vigezo vya course na wale wote watakaochaguliwa ada itakuwa 700,000/=
Yaan mimi sielewi hili.when r we waiting up to