Matokeo ya waliochaguliwa vyuo TCU

Ahaaa,me nina ya 13 bwana!!na pia niliangalia requirements ya kila programme nlojaza!

kikubwa ni kuwa na princpal mbili,bt uctegemee ud au sua,hao wako complicated sana.

Kitu tar 4 mwez 8 kaka!hawa TCU bhana ugonjwa wa moyo!
Hey guys, nimesikia matokeo yatatoka tarehe 3 mwezi wa 8.. Hawa jamaa mbona wanatufanyia hivi? Sipendi ahadi za uongo, walisema yatatoka ktk wiki ya kwanza mwezi wa saba, mpaka leo hamna kitu!

Ahaaa,me nina ya 13 bwana!!na pia niliangalia requirements ya kila programme nlojaza!

umejitahid but c unajua arts mkopo ni kwa dv 1&2 so ka hujaomba education itakula kwako dogo.

[h=1]News[/h]
Public Announcement on Second round of Application for 2011/2012 Admissions

The Tanzania Commission for Universities (TCU) wishes to inform the general public that the selection process under the first round of applications through the Central Admission System (CAS) has been completed and names of selected applicants will be released on 4[SUP]th[/SUP] August 2011. Following the completion of the first round, the second round of applications will be opened starting on 1[SUP]st[/SUP] August to 22[SUP]nd[/SUP] August 2011. This round will be opened to those who have not been selected during the first round and applicants who did not apply during the first round of application, which was closed on 31[SUP]st[/SUP] May 2011. With the planned second round of applications, prospective applicants and the general public are advised to take note of important dates as shown below.
S/N
Activity
Date
1
Opening of the second round of applications
1[SUP]st[/SUP] August 2011
2
Closing of the second round of applications
22[SUP]nd[/SUP] August 2011
3
Release of names of selected applicants
3[SUP]rd[/SUP] September 2011
For further clarification please contact TCU through the following:

EXECUTIVE SECRETARY,
P O BOX 6562,
DAR ES SALAAM,

Tel: (255) (22) 2772657,
Fax: (255) (22) 2772891,
Hotline number: 0759 539987, 0759 537659, 0714 582742, 0783 600424 and 0773971363,

Email: es@tcu.go.tz, dad@tcu.go.tz or admission@tcu.go.tz
TCU offices are located along Garden Road, Mikocheni Area, Dar es Salaam.
EXECUTIVE SECRETARY

Click here to view all news.
footer_separator.gif

Copyright Tanzania Commission for Universities, P. O Box 6562, Dar es Salaam. Phone +255 (0) 22 2772657 Fax: +255 (0) 22 277289 | Site Index

Siku hizi mambo ni tofauti kabisa,materials yamezagaa lakini watoto hawasomi tena sasa mpaka mtu wa points 17 anapata chuo tena University level..mhh! Elimu mdebwedo kwelikweli

Siku hizi mambo ni tofauti kabisa,materials yamezagaa lakini watoto hawasomi tena sasa mpaka mtu wa points 17 anapata chuo tena University level..mhh! Elimu mdebwedo kwelikweli

sa we ulitaka asipate,au ndo roho mbaya?

We kweli tinditamu sio kali tena,wewe unafikiri tunalingana kiuwezo na kiuchumi?we unadhani matokeo yakitoka mwez wa kumi kwa mfano alafu unaambiwa wa kuminamoja mwanzon chuoni kwani wote wanaweza wakafanikisha mipango ya kifedha mapema??familia zetu duni swahiba zinahitaji maandalizi ya muda wa kutosha!

waenda vyuo mna mbwembwe! Hivi wakiyatoa sasa yatakufanya uende huko muda huu? Ratiba ya vyuo ipo pale pale.

We rweye waza tu hvohvo!co kila mtu hua anaanika tokeo lake!teh
Siku hizi mambo ni tofauti kabisa,materials yamezagaa lakini watoto hawasomi tena sasa mpaka mtu wa points 17 anapata chuo tena University level..mhh! Elimu mdebwedo kwelikweli

Hapana kaka nlkwambia ni HGE but nldanganya,ni PCB mkubwa!hapo je vp?

umejitahid but c unajua arts mkopo ni kwa dv 1&2 so ka hujaomba education itakula kwako dogo.

Point 17 inaweza kuwa div IV au div III inategemea umefauluje ktk combination yako!

Kama una principle 2 hiyo inakuwa div III ila ukiwa na principle 1 inakuwa div IV, kwa mfano ukipata EEF hiyo ni III ya 17 ila ukipata ESS hiyo ni IV ya 17.

Asante kaka kutujuza hilo!!
Point 17 inaweza kuwa div IV au div III inategemea umefauluje ktk combination yako!

Kama una principle 2 hiyo inakuwa div III ila ukiwa na principle 1 inakuwa div IV, kwa mfano ukipata EEF hiyo ni III ya 17 ila ukipata ESS hiyo ni IV ya 17.

tcu acheni kutupotezea muda wa kujiandaa na direct cost,matokeo mmeyaficha wapi?.Hiyo jumatatu mtaanzaje usajili mpya na huku matokeo ya walioaplai awali hamjayatoa?

Back
Top Bottom