Uchunguzi umeonyesha kuwa siku ya Valentine ilimalizika kwa kuwa na matukio mbalimbali kama :
Ndoa zilizo vunjika 24%
Fumanizi 48%
Watu walio zini 97%
Vitanda vilivyo vunjika 18%
Maambukizi mapya ya HIV 69%
Walio ingia kwenye mahusiano mapya 78%
Kutumika kwa neno "Ilove you" 98%
Mahudhurio katika Guest 88%
Tulio kaa nyumbani 2%
Je wewe ulikuwa kwenye kundi gani?
Total ni asilimia 522%,
hii imekaaje asee!
iko vizuri tu nilipo kuwa darasa la tatu tulikuwa tuna sema 2 gawanya kwa 5 jibu lake ni haiwezekani na mwalimu huku akijua kabisa kuwa inawezekana na jibu lake ni 0.4 bado alikuwa ana tupa alama ya vema kwa sababu ya level yetu wakati ule. Ninajua pia kwa level ya baadhi ya watu wataona 522% haiwezekani lakini 522% ipo na sahihi.