Bokohalamu
Member
- Mar 13, 2012
- 94
- 8
Majina na namba mkuu
Thanks mkuu, wacha tuwaachie hizo details wakuu watuchekie kesho!
Majina na namba mkuu
Hivi mnaamini kweli mitihani 1,000 inaweza kusahihishwa kwa siku moja tu na kila mtu akapewa haki yake anayostahili??Jamani hawa TRA ilikua warelease matokeo within 24 hours...kunani?
Mwenye kujua atujuze jamani...
Hivi mnaamini kweli mitihani 1,000 inaweza kusahihishwa kwa siku moja tu na kila mtu akapewa haki yake anayostahili??
Nielekezeni jinsi ya kuattach nimeyapiga picha yote
Nielekezeni jinsi ya kuattach nimeyapiga picha yote
Wanandg,,majina yamebandikwa ila honest inasikitisha sanaa awajaweka rates za watu ilikuonyesha fairness ya mtu umepata ngapi hatakama ujachaguliwa
Mkuu Kapilula, ukitaka ku attach picha ingia sehemu ya kureply, then bonyeza kitufe cha option itakupa option kadhaa zen chagua attach itakupekeka moja kwa moja kweny gallery, baada ya hapo utachagua picha unayotaka ku attach.
Man, reply post kama unatumia simu itakupa option ya kusubmit reply na pembeni kuna attachments unaclick hapo itakupa option ya kuattach from location ambapo picha ipoNielekezeni jinsi ya kuattach nimeyapiga picha yote
Mbona sioni kitu hapa diamond zaidi ya watu wanaopga kura serikali za mtaa??