Sehemu za uchaguzi ndiyo sehemu gani hizo? Na hicho kigugumizi alikipata wapi?
Mlijidanganya kuwa mtachukua dola, sasa endeleeni kujidanganya kuwa mliibiwa kura.[/QUOTE]
Usiseme kitu kama hujui unasema nini. Mwenzako alimaanisha kura zilizobandikwa katika vituo vya kupigia kura na katika fomu za mawakala. kama ulitaka kuwelewa maana yake basi hiyo ndo maana yake.
Hilo unalosema kuwa 'mlijidanganya..., sasa endeleeni kujidanganya kuwa mliibiwa kura" unachokiseama kina maana gani? Watu wana vielelezo vya kutosha kwamba fomu za matokeo zinaonyesha nini na wasimamizi walikuwa wanatangaza nini. Kama unaongea kipropaganda na kishabiki uendelee. Maana hata tukikupa ushahidi hautabadili mtazamo wako. Kama ulikuwa unasikiliza vyombo vya habari (visivyo vya CCM) utakuwa umesikia baadhi ya Wagombea waliokamatwa na kura na zipo kura zilizokamatwa ambazo zimewekewa alama ya vema na hakuna hatua zinazochukuliwa.