Elections 2010 Matokeo ya Urais

Tanganyika

Member
Nov 4, 2010
67
1
Taarifa ya matokeo ya Urais yanayotolewa na tume si sahihi......ni tofauti na yale yaliyobandikwa kwenye sehemu za uchaguzi, hili liko wazi kwani ushahidi upo! hata jana Lewis Makame alipoulizwa na waandishi wa habari kuzungumzia matokeo anayotangaza kuwa ni tofauti ali-panic na akapata kigugumizi!!!!!
Makame tafakari jambo hili vizuri watu wanasali usiku na mchana na nguvu ya Mungu ni kubwa, kumbuka Musa allivyowaokoa wana wa Israeli na jeshi la farao likiwa na silaha za kila aina lakini Musa na wana wa Israeli hawakuwa hata na mshale! Watanzania tuendelee kusali kwa bidii.....Mungu wetu ni mwaminifu sana.
 
Sehemu za uchaguzi ndiyo sehemu gani hizo? Na hicho kigugumizi alikipata wapi?

Mlijidanganya kuwa mtachukua dola, sasa endeleeni kujidanganya kuwa mliibiwa kura.
 
kudadeki ondoa ushetani wako hapa, tamaa zako zisiwe chanzo kuchanganya watu na akili zao, ongelea hoja sio kubadilisha lengo, najua ni njaa tu zinasumbua
 
Sehemu za uchaguzi ndiyo sehemu gani hizo? Na hicho kigugumizi alikipata wapi?
Mlijidanganya kuwa mtachukua dola, sasa endeleeni kujidanganya kuwa mliibiwa kura.[/QUOTE]

Usiseme kitu kama hujui unasema nini. Mwenzako alimaanisha kura zilizobandikwa katika vituo vya kupigia kura na katika fomu za mawakala. kama ulitaka kuwelewa maana yake basi hiyo ndo maana yake.

Hilo unalosema kuwa 'mlijidanganya..., sasa endeleeni kujidanganya kuwa mliibiwa kura" unachokiseama kina maana gani? Watu wana vielelezo vya kutosha kwamba fomu za matokeo zinaonyesha nini na wasimamizi walikuwa wanatangaza nini. Kama unaongea kipropaganda na kishabiki uendelee. Maana hata tukikupa ushahidi hautabadili mtazamo wako. Kama ulikuwa unasikiliza vyombo vya habari (visivyo vya CCM) utakuwa umesikia baadhi ya Wagombea waliokamatwa na kura na zipo kura zilizokamatwa ambazo zimewekewa alama ya vema na hakuna hatua zinazochukuliwa.
 
Sasa huyo mtu ambaye hajuia "sehemu za uchaguzi" zinaitwaje, huyo mtu ana credibility gani ya kukosoa matokeo yanayotangazwa na tume?

Halafu nyie mabingwa wa kuleta "barua za siri" za serikalini, leo inakuwaje mnashindwa kuleta hivyo "vielelezo" vinavyodaiwa? Au ni vielelezo vya Kichina? Endeleeni kufurahisha roho zenu mkidhania kuwa kuweka picha ya Silaa front pages za magazeti ndiyo kuongeza hesabu za kura!
 
Sehemu za uchaguzi ndiyo sehemu gani hizo? Na hicho kigugumizi alikipata wapi?

Mlijidanganya kuwa mtachukua dola, sasa endeleeni kujidanganya kuwa mliibiwa kura.

Kuna miwatu mingine inatia hasira kama nini, ni dhahiri vyama vya upinzani havikutendewa haki, halafu hata katiba ya uchaguzi inamapungufu makubwa, kwamfano matokeo ya jimbo la Hai, CHADEMA imeongoza kwa kiasi kikubwa sana katika kura za WABUNGE, halafu kitu cha kushangaza eti CCM ikaongoza kwa kiasi kikubwa kura za Uraisi, kwangu mimi IT DOESNT MAKE SENSE! lazima ujanja hapo ulitumika.
 
Sehemu za uchaguzi ndiyo sehemu gani hizo? Na hicho kigugumizi alikipata wapi?

Mlijidanganya kuwa mtachukua dola, sasa endeleeni kujidanganya kuwa mliibiwa kura.

Wewe ndiyo wale ninasema kila siku ubongo wenu umejaa chumvi kwa sababu ya kula samaki wa maji-bahari.

Buriani, Masha, Dialo, Marmo, ......................................
Chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Najua inakuuma sana bwana kum*deki
 
Kinachonishangaza ni kuwa wagombea kama dovutwa, rungwe hawakupiga kampeni kabisha na wala hawajulikani lakini bado wamepata kura mpaka vijiji vya ndani kabisa; hii ni uthibitisho kuwa Tume ya uchaguzi haijapunguza kura za Dr Slaa na Lipumba ili kumwongezea Kikwete tu bali wamepunguziwa na wagomea wengine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom