nimesikiliza kupitia itv...vituo 5 vilivyotangazwa cdm imeongoza vyote.....peoplessssssssssssss
Sante. Endelea kutujuza. CCM kazi wanayo!'breaking news live from igunga: Mh halima mdee muda mfupi uliopita, amekamata masanduku yenye kura feki huko choma! Pia aliyekuwa diwani wa igunga mama ngessy anashikiliwa na polisi kwa kukutwa nyumbani kwake akiwa na masanduku yenye kura feki! Vigogo wa ccm leo asb wote wametoweka igunga na kurejea dar!
so far katika vituo walivo report
CDM CCM
73 63
86 65
90 80
115 79
104 78
Mmmh,kwa mwendo huu,naona karibu ntaondoka kwenye ushabiki
wa chadema na kuwa mwanachama wa chadema.
Hakika leo wamekabwa mtu na mtu lo basi hata watashinda ccm habari ndiyo hiyo kuwa bila kuiba kura ccm chali 2015‎'breaking news live from igunga: Mh halima mdee muda mfupi uliopita, amekamata masanduku yenye kura feki huko choma! Pia aliyekuwa diwani wa igunga mama ngessy anashikiliwa na polisi kwa kukutwa nyumbani kwake akiwa na masanduku yenye kura feki! Vigogo wa ccm leo asb wote wametoweka igunga na kurejea dar!
so far katika vituo walivo report
CDM CCM
73 63
86 65
90 80
115 79
104 78
Mmmh,kwa mwendo huu,naona karibu ntaondoka kwenye ushabiki
wa chadema na kuwa mwanachama wa chadema.
Ccm wamehama hotelini Igunga mjini
mkuu lete na data kama ilivyokuwa kule arusha. jamaa walikuwa wanatuletea takwimu halisia, km kituo minazini: cuf 140, cdm 500, magamba 23 nk. Hizo ndo data za uhakika mkuu