Mcharuko JF-Expert Member Joined Sep 25, 2011 Posts 209 Reaction score 175 Jul 15, 2012 #1 Jamani tupeni matokeo, sijui Jirani yangu ameshinda maana jana kulikuwa na watu pale kwake usiku kucha wamekesha huku wakiwa wamewasha ubani na kuongea maneno yasiyoeleweka.
Jamani tupeni matokeo, sijui Jirani yangu ameshinda maana jana kulikuwa na watu pale kwake usiku kucha wamekesha huku wakiwa wamewasha ubani na kuongea maneno yasiyoeleweka.
Mtumpole JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,280 Reaction score 1,296 Jul 15, 2012 #2 https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/292620-manji-mwenyekiti-mpya-yanga.html
KALYOVATIPI JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,414 Reaction score 199 Jul 15, 2012 #3 Leteni taarifa rasmi