Matokeo ya Uchaguzi huko Yanga!

Mcharuko

JF-Expert Member
Sep 25, 2011
209
172
Jamani tupeni matokeo, sijui Jirani yangu ameshinda maana
jana kulikuwa na watu pale kwake usiku kucha wamekesha
huku wakiwa wamewasha ubani na kuongea maneno yasiyoeleweka.
 
Back
Top Bottom