Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,032
- 26,673
Duh hongera na pole sana bruh, usife moyo ipo njia na wakati utakula matunda ya kazi yakoWay back nilikuwa nakimbiza natembeza perfume hapo kariakoo naunga unga viada ada! Niliacha kipnd narudi school form five
Niliemwachia nikakuta kala mtaji woote na Hana hata mia.
Kwakua shule ilinibana ikabidi niendelee kusoma tuu maana nilikuwa nasomea mikoani huko
Sina imani na wasahihishaji wa ule mtihani...paper haikuwa ngumu ila matokeo sasa.Kutokana na uchunguzi wangu mdogo kwenye PDF ya MATOKEO ya TRA, hasa kweny upande wa Custom II, Kuna vitu vimenipa maswali mengi
1. Kwa Jinsi maksi zilivyopangwa ni ngumu mtu kupata 43, au 42.4.
Kwasababu mtihani ulikuwa na maswali matatu ambayo kimsingi huwezi pata hizo maksi na majibu yalikuwa ni direct ukikosa umekosa au ukipata umepata haiwezekani ukapata hizo point
2. Watu wengi kuwa na maksi zinazofanana. Kiuhalisia nashindwa kuelewa inakuwaje watu zaid ya 300 wote wamepata 45.5 au 41
Hapa walimu mnisaidie inawezekana kweli watu kuwa wanafanana fanana kweny maksi
Yaani unakuta listi ndefu ndefu wote mmefanana zaidi ya watu 300. Hilo kwangu ni impossible
3. Range ya watu kufanana maksi inaenda inazid kulingana na kuwa amechaguliwa au hapana.
Mfano: watu ambao wanamaksi za juu kweny hio PDF wanaofanana maksi ni wachache, unaweza Kuta hawazidi kadhaa, lakin wanaofanana maksi wanazidi kuongezeka kulingana na kutochaguliwa kwao.
Utakuta ambao hawajachaguliwa watu zaid ya 258, au mpaka watu 300 wote wamepata 41 na hio interval inazid ongezeka kadili watu wanavyokuwa hawajachaguliwa na maksi zao kuwa ndogo
4. ili kila mtu aridhike ingekuwa heri mchakato huu ukawa computarize yaani watu wajibie maswali mtandaoni na maksi zake azipatie palepale, mchakato huu uwe huru na uwazi.
Au wangemtumia kila mtu PDF ya mtihani wake alioufanya ili mtu asiwe na maswali na wao. Hii ingesaidia Kama mtu kanyimwa maksi makusudi au ni uzembe wake.
Sasa wakifanya kila kitu Gizani Kuna maana gani ya kuwepo na mtihani ambao unapewa maksi uliopata na sio kujua wapi ulipokosea
Nna uhakika hata alietunga huo mtihani wa custom officer II, angeenda aufanye kimya kimya matokeo yake angekuwa huko kwenye 42.4
Pamoja sana kaka!....Duh hongera na pole sana bruh, usife moyo ipo njia na wakati utakula matunda ya kazi yako
Mim nataman kila mtu arudishiwe PDF ya mtihani wako alioufanyaSina imani na wasahihishaji wa ule mtihani...paper haikuwa ngumu ila matokeo sasa.
Njoo hapa veta changombe nikufundishe kupika supu na chapati. Baada ya wiki tatu utakuwa umekwiva kabisa.Kariakoo nilikuwepo zaman sana! Kwasasa nipo mtaani tuu ata sielewi,
TRA wameshachakata kanzi data, wanazidi kunifanya nidate..
Hapa nawaz kwenda kujishikiza kweny taasisi tu za watu angalau tupate ela ya kula
Supu Ina ufundi wake eeeh? Mi najua nikuchemsha maji na mboga husika..Njoo hapa veta changombe nikufundishe kupika supu na chapati. Baada ya wiki tatu utakuwa umekwiva kabisa.
Uwoga gani kaka?Pamoja sana kaka!....
lakin still tusiendelee kuukumbatia huu uoga
Daah basi mi nimeamini kabisa Kama wamesahihisha DaaaahSasa mna shangaa nini wakati hata last time matokeo yao yalikuwa hivi hivi, walicho fanya saiv ni kuchelewesha tu muone kama wame sahisha kweli teh teh
Kuwaelekeza hawa jamaa wanaoajiri Kama wanazinguaUwoga gani kaka?
Supu haipikwipikwi tu bwashee, kuna fomula maalumu za kupika kila aina ya supu.Supu Ina ufundi wake eeeh? Mi najua nikuchemsha maji na mboga husika..
Eiza supu ya maharage
Supu ya mbogamboga
Supu ya mifupa (kongolo)
Supu ya Bamia (Mlenda)
Hapo ndo changamoto kidgKuwaelekeza hawa jamaa wanaoajiri Kama wanazingua
Sahihi yaani wanakuwa wanawachora tu kumbe list ipo tayari.Daaah wanatuumiza san
Mkiambiwa no reform no election ndo kama hivyo.Hakuna namna ya mtu kuona haki yako!
WashaichomaMim nataman kila mtu arudishiwe PDF ya mtihani wako alioufanya
Kawaida tu. Mbona hata interview za utumishi mfano za walimu ulikuwa unakuta zaidi ya page 50 candidates wote wamepata alama 60. Mfano tafuta matokeo ya walimu wa kiswahili bachelorKutokana na uchunguzi wangu mdogo kwenye PDF ya MATOKEO ya TRA, hasa kweny upande wa Custom II, Kuna vitu vimenipa maswali mengi
1. Kwa Jinsi maksi zilivyopangwa ni ngumu mtu kupata 43, au 42.4.
Kwasababu mtihani ulikuwa na maswali matatu ambayo kimsingi huwezi pata hizo maksi na majibu yalikuwa ni direct ukikosa umekosa au ukipata umepata haiwezekani ukapata hizo point
2. Watu wengi kuwa na maksi zinazofanana. Kiuhalisia nashindwa kuelewa inakuwaje watu zaid ya 300 wote wamepata 45.5 au 41
Hapa walimu mnisaidie inawezekana kweli watu kuwa wanafanana fanana kweny maksi
Yaani unakuta listi ndefu ndefu wote mmefanana zaidi ya watu 300. Hilo kwangu ni impossible
3. Range ya watu kufanana maksi inaenda inazid kulingana na kuwa amechaguliwa au hapana.
Mfano: watu ambao wanamaksi za juu kweny hio PDF wanaofanana maksi ni wachache, unaweza Kuta hawazidi kadhaa, lakin wanaofanana maksi wanazidi kuongezeka kulingana na kutochaguliwa kwao.
Utakuta ambao hawajachaguliwa watu zaid ya 258, au mpaka watu 300 wote wamepata 41 na hio interval inazid ongezeka kadili watu wanavyokuwa hawajachaguliwa na maksi zao kuwa ndogo
4. ili kila mtu aridhike ingekuwa heri mchakato huu ukawa computarize yaani watu wajibie maswali mtandaoni na maksi zake azipatie palepale, mchakato huu uwe huru na uwazi.
Au wangemtumia kila mtu PDF ya mtihani wake alioufanya ili mtu asiwe na maswali na wao. Hii ingesaidia Kama mtu kanyimwa maksi makusudi au ni uzembe wake.
Sasa wakifanya kila kitu Gizani Kuna maana gani ya kuwepo na mtihani ambao unapewa maksi uliopata na sio kujua wapi ulipokosea
Nna uhakika hata alietunga huo mtihani wa custom officer II, angeenda aufanye kimya kimya matokeo yake angekuwa huko kwenye 42.4
Shida sio kuunga mkono, shida ni hawajaitolea maelezo ni kitu gani na Ina faida gani kwetuMkiaambiwa muunge mkono No reform no Election hamtaki!
Inaweza ishia jikoniSupu haipikwipikwi tu bwashee, kuna fomula maalumu za kupika kila aina ya supu.
Njoo tukupe shule
Tunaoumia ni sisi, ila wao they don't careHapo ndo changamoto kidg