Matokeo ya Sensa Vipi Jamani


Mkuu hayo ya ccm na vikorombwezo ulivyoviweka umeulizwa na nani? Sisi tuko interested na matokeo ya sensa tu..
 
Jamani kama kuna mtu mwenye fununu za matokeo ya sensa ya kitaifa 2012 nayangoja kwa hamu na kusikitika pamoja na TEHAMA yote hii yamechelewa sana

matokeo walisema kwenye hotuba ya kufungia mwaka nadhani tarehe 31 dec
 
Mimi nina hamu kusikia Waisilamu na Wakristu kina nani wengi......:confused2:

Stop that shit, mnaendekeza udini, kwanza kipengele cha udini hakikuwepo so how do you know wakina nani ni wengi.
 
Mkuu atayatangaza tarehe 31/12/2012,kwenye ile ngonjela yake ya mwisho wa mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…