MATOKEO ya Sensa kesho

MATOKEO ya Sensa kesho

Sherehe? Shilingi ngapi zitatumika kwenye hiyo 'sherehe?. Hivi hatuwezi kuzindua sensa bila 'sherehe? Deni la taifa linapaa lakini bado hatuoni kubana matumizi!

Hii serikali ya mshikaji!
kuna watu wanadai hela ya SENSA jumla si chini ya milion 900,walah!
thn wanazindua kwa sherehe!
ni.....janga!!
 
kabla ya kutangaza waambie waniongeze kwenye hiyo data yao maana hawakunihesabu
 
Mimi sikuhesabiwa

Hata mimi sikuhesabiwa nikiwa na familia yenye watu 5 sote hatukuhesabiwa.... tuliwafuata wakasema wanakuja hadi leo hatujawaona sasa sijui hiyo ripoti ya idadi kama itakuwa na ukweli, na je kuna familia ngapi kama yangu ambazo hazikuhesabiwa??
 
Hapo ndiyo atazidi kujidhalilisha kwa kutangaza matokeo feki. Wengi hawakuhesabiwa hasahasa Zanzibar.
 
wamesema wale ambao hawakutaka kuhesabiwa kwa makusudi wamejumuishwa kwenye idadi ya nguruwe

usingizi umekata kabisa kwa kicheko!.... Mimi pia sikuhesabiwa so nguruwe watavunja record ya wanyama wote!...#itawastua wahisan Taifa lina nguruwe wengi kuliko wanyama wote!
 
Hata mimi sikuhesabiwa nikiwa na familia yenye watu 5 sote hatukuhesabiwa.... tuliwafuata wakasema wanakuja hadi leo hatujawaona sasa sijui hiyo ripoti ya idadi kama itakuwa na ukweli, na je kuna familia ngapi kama yangu ambazo hazikuhesabiwa??

kuna mdau hapo juu kasema kama hukuhesabiwa utakuwa umejumuishwa kwenye kundi la nguruwe! Teh teh
 
Sijui mtiririko wa data za sensa yetu Tanzania hiyo kesho utakuwa vipi, lakini si vibaya kutizama ripoti za awali za sensa za wenzetu huwa vipi mfano Uingereza sensa ya mwaka 2011 mtiririko na madodoso yalikuwa hivi ktk taarifa kwa umma ili wananchi na wadau wahusika kuweza kuelewa ripoti ya awali ya sensa.

Maana Jamiiforums ya watu makini inatakiwa tuwe na vigezo wakati tukichambua 'Matokeo ya Awali ya Sensa' atakayokabidhiwa Mh. Rais Jakaya Kikwete kwa vile tukiyaachia magazeti yetu kutoa mtazamo wa Sensa tutakuwa tumewaachia kaaaazi kubwa, hivyo wadau tupitie hii ripoti ya sensa Uingereza na kutumia baadhi ya vipengele vyenye manufaa kwa Tanzania kusaili 'Matokeo ya Awali ya Sensa yetu Tanzania :
:


socialbookmark_tcm77-30129.gif
Release: 2011 Census, Key Statistics for Local Authorities in England and Wales

Released: 11 December 2012

nsroundelsm_tcm77-31069.gif
All editions of this release

Categories: Population, Population Estimates, Population Estimates by Age and Sex, People and Places, Households, Number of Households
Frequency of release: Decennial
Language: English
Geographical coverage: England and Wales
Geographical breakdown: Local Authority and County

Survey name(s): Census


  • The resident population of England and Wales on the 27 March 2011 was 56.1 million, a seven per cent (3.7 million) increase since 2001 with 55 per cent (2.1 million) of this increase being due to migration. One in six people were aged 65 or over (16 per cent, 9.2 million).
  • In 2011, four out of every five (81 per cent, 45.5 million) residents of England and Wales described themselves as being in good or very good health.
  • The number of residents who stated that their religion was Christian in 2011 was fewer than in 2001. The size of this group decreased 13 percentage points to 59 per cent (33.2 million) in 2011 from 72 per cent (37.3 million) in 2001. The size of the group who stated that they had no religious affiliation increased by 10 percentage points from 15 per cent (7.7 million) in 2001 to 25 per cent (14.1 million) in 2011.
  • Of the 13 per cent (7.5 million) of residents of England and Wales on 27 March 2011 who were born outside of the UK, just over half (3.8 million) arrived in the last 10 years.
  • The number of cars and vans available for use by households in England and Wales increased from 23.9 million to 27.3 million between 2001 and 2011. In 2001 there were on average 11 cars per 10 households whereas in 2011 there were 12 cars per 10 households. The proportion of households with access to no cars or one car declined over the decade whereas the proportion with two or more cars rose. London was the only region where the number of cars and vans was lower than the number of households.
  • In 2011 there were more people with Level 4 or above qualifications, eg Bachelor’s degree (27 per cent, 12.4 million), than people with no qualifications (23 per cent, 10.3 million).

In this release



This release 'The Key Statistics for local authorities in England and Wales' is the first release of key figures that describe the population of England and Wales and add detail to the 2011 Census population estimates published 16 July 2012.
The statistical bulletin decribes the defining characteristics of the population, who we are, how we live and what we do. The census is unique because it is the only information source that measures these characteristics together across the whole population.

The release includes all Key Statistics tables and selected Quick Statistics tables for England and Wales and constituent regions, counties, London boroughs, districts and unitary authorities as at census day, 27 March 2011.

More detailed analyses of the census estimates are provided for some topics in four 'short stories'. Three present analyses of international migration, ethnicity and religion. The fourth is a report on how the 2011 Census labour market statistics differ from those estimated from the Labour Force Survey at the national, regional and local authority level.

In addition to the tables and commentary included, interactive data visualisations are also available to help interpretation of the results.

This release is published alongside the Key Statistics for unitary authorities in Wales which includes the same Key and Quick Statistics tables for areas in Wales, and a statistical bulletin that describes the characteristics of the population of Wales.

Key and Quick Statistics tables for Output Areas (OAs) and for wards will be published on 30 January 2013. Further short stories will be published with this and subsequently, covering families, general health and disability, unpaid care, language, occupation and industry, qualifications and economic activity.

During 2013 ONS will release cross tabulations between characteristics, such as by age or ethnicity. This will provide an even richer and more valuable data source for the many users of the census.

Further information about the census estimates, including details about the methodology used and information about how other population sub-groups are counted and defined, is available in the Definitions and supporting information.

Further information on the fitness for purpose of the statistics in this release can be found in the Quality and Methodology Information paper (157.6 Kb Pdf) .

Other useful information



These National Statistics are produced to high professional standards and released according to the arrangements approved by the UK Statistics Authority.

Source: 2011 Census, Key Statistics for Local Authorities in England and Wales
 
Mambo yamekaa kidini dini sana siku hizi.Watz tunakoelekea siko
 
Mkuu niko na wewe 200% kuna haja gani ya kufanya sherehe, wangapi wamealikwa kwenye hiyo sherehe. Tunapenda kuishi maisha ambayo yako juu ya uwezo wa taifa letu. Rais akatangazie taifa kupitia TBC tuko wangapi basi. Cha muhimu ni kuweka mikakati ya kuleta maendeleo kutokana na idadi ya watu siyo kufanya sherehe zisizo na kichwa wala miguu

Yaani hata Rais hakutakiwa kuhusishwa, si kuna Taasisi inayohusika na sensa? Wangetoa tu takwimu kazi kwisha.
 
Mnazi Mmoja ndio inapambwa muda huu tayari kutangaza matokeo ya Sensa
 
Back
Top Bottom