Nimejaribu kutafuta matokeao ya sensa ya 2012 kwa ajili ya tafiti zangu lakini nimeshindwa kuyaona mahali yalipowekwa rasmi. Nimekwenda kwenye tovuti ya National Bureau of Statistics
Sensa ya Watu na Makazi 2012 ,sikuona chochote.
Je kuna ambaye anafahamu zimechapishwa wapi?