Mwalimuwavichaa
Member
- Nov 9, 2021
- 17
- 33
Mambo tafaraniView attachment 2237142
Kutoka 50 inakuja 38! Hakuna 40. Na hizo ziro zote vipi yani. Uite watu 6000 u short list 50 tu! Wengine wametokea songea, Sumbawanga, Bukoba kujaribu bahati zao. Serikali iangalie namna nzuri ya kuwafanyia usaili hawa job seekers kwa kuwapunguzia gharama kidogo, la sivyo vijana wata under go beyond frustration.Noma
Kutoka 50 inakuja 38! Hakuna 40. Na hizo ziro zote vipi yani. Uite watu 6000 u short list 50 tu! Wengine wametokea songea, Sumbawanga, Bukoba kujaribu bahati zao. Serikali iangalie namna nzuri ya kuwafanyia usaili hawa job seekers kwa kuwapunguzia gharama kidogo, la sivyo vijana wata under go beyond frustration.


Sasa ulitaka 6000 wote waende oral au


Ni wasomi uchwara Kama weweDuu...hao waliopata zero inamaana walishindwa kabisa mtihani mzima? Bachelor Degree holders!
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaratibu mzuri ungekua kuwagawanya candidates kwa kanda (zones) kulingana na kanda za mikoa.Kutoka 50 inakuja 38! Hakuna 40. Na hizo ziro zote vipi yani. Uite watu 6000 u short list 50 tu! Wengine wametokea songea, Sumbawanga, Bukoba kujaribu bahati zao. Serikali iangalie namna nzuri ya kuwafanyia usaili hawa job seekers kwa kuwapunguzia gharama kidogo, la sivyo vijana wata under go beyond frustration.
Kwenye applications walitanua goli kwa kusema watu wenye degree mbalimbali wanaweza kuomba (hata kozi zisizohusiana na masuala ya bandari moja kwa moja kama vile HR, BBA, Procurement, etc.), halafu sasa kwenye pepa wakaweka maswali ambayo typical ni ya ki-bandari, yaani kama hujasoma kozi ya mambo ya bandari au hujawahi fanya kazi bandari lazima upate namba za viatu. Ndo kilichotokea sasa.Duu...hao waliopata zero inamaana walishindwa kabisa mtihani mzima? Bachelor Degree holders!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wasomi uchwara Kama wewe


Yan usome HR ukajibu issue za port operation ...hapana mm naamini watu hao wengi wakiitwa kada zao lazima wapate angalau 25 and aboveGood ideaUtaratibu mzuri ungekua kuwagawanya candidates kwa kanda (zones) kulingana na kanda za mikoa.
Mfano, kungekua na vituo vya usahili Dar, Mtwara, Dodoma, Mbeya, Mwanza, Kigoma, na Arusha. Kila candidate afanyie mkoa ambao ni karibu zaidi kwake. Hii ingesaidia sana kupunguza gharama za usafiri na malazi kwa watahiniwa. Hasa kwa usahili wa maelfu kama huu.

M mm nimeshangaa kutoka 50 hapo adi 38 kweli hamna hata 42 -50??duhKutoka 50 inakuja 38! Hakuna 40. Na hizo ziro zote vipi yani. Uite watu 6000 u short list 50 tu! Wengine wametokea songea, Sumbawanga, Bukoba kujaribu bahati zao. Serikali iangalie namna nzuri ya kuwafanyia usaili hawa job seekers kwa kuwapunguzia gharama kidogo, la sivyo vijana wata under go beyond frustration.
Utumishi huwa kuna usanii sana.eti zero ziko 186.M mm nimeshangaa kutoka 50 hapo adi 38 kweli hamna hata 42 -50??duh
Kuna solution moja kwenye hili. Watu wanapoitwa kwenye usaili. Waitwe kwenye ofisi ambazo ziko ndani ya mkoa husika ambamo job seekers wapo.Kutoka 50 inakuja 38! Hakuna 40. Na hizo ziro zote vipi yani. Uite watu 6000 u short list 50 tu! Wengine wametokea songea, Sumbawanga, Bukoba kujaribu bahati zao. Serikali iangalie namna nzuri ya kuwafanyia usaili hawa job seekers kwa kuwapunguzia gharama kidogo, la sivyo vijana wata under go beyond frustration.
Zamani ilivyouwa dsm wamikoani walikuwa wanakuja hawalalamiki au walikuwa wanafurahi kuja kuona na magorofaUtaratibu mzuri ungekua kuwagawanya candidates kwa kanda (zones) kulingana na kanda za mikoa.
Mfano, kungekua na vituo vya usahili Dar, Mtwara, Dodoma, Mbeya, Mwanza, Kigoma, na Arusha. Kila candidate afanyie mkoa ambao ni karibu zaidi kwake. Hii ingesaidia sana kupunguza gharama za usafiri na malazi kwa watahiniwa. Hasa kwa usahili wa maelfu kama huu.
Dogo acha kutuzereuNi wasomi uchwara Kama wewe