matokeo ya NBAA!

Loreen

Senior Member
Dec 24, 2011
110
32
Harini wana jf,jamani kuna uvumi umsikika kuwa matokeo ya NBAA yametoka,je ni kweli?:embarassed2:
 
hahaaaah CPA, kumbukumbu mbaya ya maisha yangu, ilinichukua miaka 6 kukamata hiyo kitu, damn, nafanyia kazi asilimia 17% ya yale yote niliyojifunza, CPA yetu ni pasua kichwa.
 
ni kweli ninahisi ni mradi ila pole sana mm namshukuru mungu nilikaa sitting 3 tu,mpaka nw cjapata kazi ya kueleweka.
 
Eeh yametoka na mimi ndo nimetoka kuchek nilifanya module F na mshukuru Mungu nimepata yote yani hapa nafuraha mbaya stend ya kwanza nikapoze koo na kitu cha castle bariiidi..
 
Cpa sikuizi yeboyebo kila m2 anayo tuangalie kitu kingne jaman kitachotuweka tofauti.
 
Cpa sikuizi yeboyebo kila m2 anayo tuangalie kitu kingne jaman kitachotuweka tofauti.

CPA ikiwa yebo yebo na degree zitakuwaje? au masters? haijawa yebo yebo bado mana cpa holders hawajafika 4000 tangu ianzishwe mwaka 1975! Huo ni wivu tu, huna lolote!
 
CPA ikiwa yebo yebo na degree zitakuwaje? au masters? haijawa yebo yebo bado mana cpa holders hawajafika 4000 tangu ianzishwe mwaka 1975! Huo ni wivu tu, huna lolote!

Sio wivu kikomelo angalia rate ya watu kupata ilivo juu kuliko zamani.
 
Sio wivu kikomelo angalia rate ya watu kupata ilivo juu kuliko zamani.

na wanaoingia ni wengi kuliko ilivyokuwa zamani! magraduate wameongezeka sana, vyuo vindahili sana wanafunzi wa uhasibu then wakimaliza wanajitupa kwenye mitihani ya uhasibu. kwa hiyo kama wanaofanya wameongezeka na wanaopata ni lazima waongezeke tu. Na kikubwa ni kuwa, ni bora uwe nayo kuliko kutokuwa nayo mana inasaidia kwenye competition kama hiyo competition iko fair ni lazima CPA iwe mwokozi mana mtu mwenye CPA na ambaye hana, uelewa wao kwenye uhasibu wanatifautiana sana!

na inasaidia watu wasiogope kazi, mtu mwenye degree akisoma requirement ya kazi akaona wanamtaka mwenye CPA anakuwa ameishia hapo! Kila mtu na bahati yake mkuu!
 
Karibuni kwenye real practical world na vyeti vyenu vijana, huku ni batle ground wewe una cpa mwenzako anakuja na Acca na huku mwingine ana degree ya university of alabama nyumbani kina obama bila kusahau wa stanford pembeni na kamtoto ka fisadi kana elimu ya kuunga lakini ana experience ya BOT na mama na baba bado wapo kwenye system wameshamwandikia kimemo, Tanzania ya leo ni zaidi ya tuijuavyo,, but that is biggest stage wadau wote mliopata hiyo kitu,, hongereni sana as a journey of thousands mile begins with a single step na imani mtafika mbali
 
Back
Top Bottom