Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Nimejikuta nakonda ghafla baada ya kusoma maana yule wangu huwa ananipa taarifa siku moja kabla
kwani uongo? si anakupatiaga Asali? yani wewe ndo unapatiaaaa, chamsingi next time umuwekee na hibiscus flower.
Mtakuja kuliwa tigo shauri yenu .. Mnajua wema katoa nn hadi akapewa gari ?
Mweh mweh af wanasema binadamu wote ni sawa....wengine hapa hatujawahi kupewa hata kitumbua
Mtakuja kuliwa tigo shauri yenu .. Mnajua wema katoa nn hadi akapewa gari ?
Hahaaaa Mbona umepanic Hivyo na matusi juu,Wewe ulishawahi kuliwa nini mkuu?
Uwe una tofautisha vitu serious na utani,Maisha haya si magumu kiasi hicho mpaka kila kitu uchukulie serious kama huyo mwenzako aliye like hii comment yako
Na wote tuseme Aamen...!!
Girlfriend wangu namtema kuanzia leo hii!