Matokeo ya mashauzi ya Dimond

Mweh mweh af wanasema binadamu wote ni sawa....wengine hapa hatujawahi kupewa hata kitumbua
Nyie si watoto wa kishua banaaa pigweni tu FREE P, sie watoto wa uswazi tukilegea njaa itatumaliza. IF DADY CANT GET IT FOR YOU HOW ABOUT GETTING IT YOUR SELF?:A S wink:
 
Uwiiiiii brthday yake mwez ujao... then nko waya mkali ntampa zawad gan mm jamani.... yomayo
 
Mabwaku....kama unaona rabish pita hivi....

JF ina viwango vyake otherwise lipo jukwaa la jokes humu.

Watu bado hata kupambana kupata uhakika wa milo mitatu daily bado hawajafanikiwa then unataka kufekisha maisha?

Unajuwa K Lynn anakura mema ya na bwana Mengi? Unajuwa vacation huwa wanakwenda wapi? Je unajuwa K Lynn amejifungulia nchi gani wale mapacha na hospital ipi?

Sasa akitokea mwehu eti kujifanya yeye ndio mshauri wa mahusiano ya watu, tumuige Mengi anavyomtreat K Lynn huo kama siyo uchizi tuuite vipi?

Kama upo Dar njoo bandarini kesho kuna mnada wa magari ushuhudie wanaume wazima na pumbu zao gari zao zinapigwa mnada kwa kushindwa kugomboa vigari vya CC 900 tu tena vya kutumia wao wenyewe.
 
Kila birthday unampelekea demu wako maua yaani umemfanya demu kawa kama nyuki kwa kuwa na maua kila kona ya chumba

kwani uongo? si anakupatiaga Asali? yani wewe ndo unapatiaaaa, chamsingi next time umuwekee na hibiscus flower.
 
Old baby hongera! 1 yr 3 birthdays!
 
Mweh mweh af wanasema binadamu wote ni sawa....wengine hapa hatujawahi kupewa hata kitumbua
ha ha ha... upewe kitumbua tena. cha kazi gani sasa wakati unacho mwenyewe!!!!
 
Kwakweli huyu kijana kasababisha zahama. Watu wanaanza kupatwa na ugonjwa wa kusahau bday za wenzi wao

Na ugonjwa huo unaitwa Galfrnds Association Union of Tanzania (GAUT)
 
mimi nitawaletea baiskeli za phonex, swala, avon , tena zile zinazotoka toka mnyororo kila ukipiga pedal
 

Don't take life too serious bro,hii ni joke ambayo imekaa ki-MMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…