Rubbish, peleka Instagram kwenye upumbavu wenu.
Mmmmmmmmmmh!
Kila birthday unampelekea demu wako maua yaani umemfanya demu kawa kama nyuki kwa kuwa na maua kila kona ya chumba
Na kila mwaka mtu atanunua magari mangapi teh teh
Hahahaaaaa! my dear IM NOT I A RELATIONSHIP, IM IN A MEETING! Birthday yangu keki zikiwa chache sanaa ujue 4. Hhhaaaaa! hili chama kubwa!Single utawajua tu
Hahahaaaaa! my dear IM NOT I A RELATIONSHIP, IM IN A MEETING! Birthday yangu keki zikiwa chache sanaa ujue 4. Hhhaaaaa! hili chama kubwa!
Mweh mweh af wanasema binadamu wote ni sawa....wengine hapa hatujawahi kupewa hata kitumbua