Matokeo ya Kidato cha Nne 2010 Kujirudia Tena Mwaka Huu wa 2011

SolarPower

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
223
27
Naomba niseme mapema kuwa matokeo mabaya ya kidato cha nne ya mwaka 2010 yatajirudia tena mwaka huu wa 2011. Nasema haya kwa kuwa hakuna juhudi zozote zile toka Serikali kuu wala Serikali za Mitaa katika kuhakikisha kuwa Wanafunzi wetu wanafanya vizuri katika masomo yao. Bila Elimu bora tusahau kutoka hapa tulipo.
 
Ni kweli kabisa unachosema, hasa kama secta hii itaendelea kuendeshwa kisiasa na viongozi wetu kuendelea kulewa na sifa za watu wa magharibi ambao hupenda kusifia hata ujinga katika kutafuta njia ya kuwadanganya kuwapumbaza viongozi wetu. I presented attached doccument in one on Star TV programs.
 

Attachments

  • Elimu inapoendeshwa kisiasa.pdf
    590.4 KB · Views: 198
Ni kweli kabisa unachosema, hasa kama secta hii itaendelea kuendeshwa kisiasa na viongozi wetu kuendelea kulewa na sifa za watu wa magharibi ambao hupenda kusifia hata ujinga katika kutafuta njia ya kuwadanganya kuwapumbaza viongozi wetu. I presented attached doccument in one on Star TV programs.

Asante kwa mawazo yako hasa hiyo attachment. Nchi hii ubinafsi umevuka mipaka hasa kwa viongozi ambao wamepewa dhamana ya kuiendeleza nchi yetu na watu wake.
 
To improve the pass rate at
‘O' level for girls in science
subjects from 46% in 2009 to
60% in 2015 and for
mathematics from 16% in
2009 to 25% by 2015 in
mathematics.
--------------------------------Haya ndiyo badhi ya malengo yaliyoko katika Mpango wa Pili wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari. Hii inamaanisha mpaka mwaka 2015 katika kila wanafunzi wa kike 100 wakataokuwa wakifanya mtihani wa Hisabati kumaliza Kidato cha Nne 75 watapata F.
 
Muda uliobaki si mrefu kabla matokeo ya kidato cha nne hayajatoka. Binafsi nahisi yanaweza kuwa mabaya kuliko ya 2010.
 
Yatakuwa mazuri kuliko miaka yote.Upande wa Arts yaani madogo wameambiwa explain three reasons,six factors siyo kama zamani mtahiniwa ndo unajaji uandike point ngapi.
 
Back
Top Bottom