Matokeo ya Kidato cha 4 ya Hassan M. Dalali


Mtumpole

Mtumpole

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Messages
1,526
Likes
160
Points
160
Mtumpole

Mtumpole

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2010
1,526 160 160
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
2,030
Likes
47
Points
145
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2012
2,030 47 145
ngoja nikurahisishie wewe cha umbea,


February 27, 2013 NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA Page : 581

QT 2012 RESULTS FOR : M1503 - ZUHRA ISLAMIC SEM CENTRE


RESULTS SUMMARY
PASSED = 21
FAILED = 45
-------------


CNO X NAMES OF CANDIDATES REMARKS

0044 F SHAMSA KHALFANI YUSUPHU FAILED
0045 F SIKUDHANI DANIELI SIMAROBE PASSED
0046 F TUNU RASHID CHAMRUNGU FAILED
0047 F ZAINABU ABDALLAH MWAZENGE FAILED
0048 F ZAINABU SEIF SAWIKI ABSENT
0049 F ZUHURA SAID MANJIA FAILED
0050 M ABDALLAH SWALEH KIYAKA FAILED
0051 M ABDULSWAMAD YAHYA KYOMBO FAILED
0052 M ALBART ANDASON MIYOYI FAILED
0053 M ALBERTY JOSEPH PASCOL FAILED
0054 M ALLY ATHUMANI MSANGI FAILED
0055 M ALLY UREMBO SULTANI PASSED
0056 M ALLY ZAMZAM KILIMA PASSED
0057 M AMIR SAID KIJANGWA FAILED
0058 M AUGUSTINO PETER RAPHAEL FAILED

0059 M EMMANUEL COSMO NDOSI PASSED
0060 M HAMADI GWAKIHUNGU IDDI FAILED
0061 M HAMZA JUMA KHAMIS PASSED
0062 M HASSAN MOHAMED DALALI FAILED
0063 M HASSAN OMAR HASSAN ABSENT
0064 M HASSAN ZENI HAMISI PASSED
0065 M HUSEIN OMARI KARADYEDI FAILED
0066 M HUSSEIN ALLY MALOZO ABSENT
0067 M ISMAIL HAMISI MNAGUZI ABSENT
0068 M ISMAIL MOHAMED ISMAIL FAILED
0069 M JAMALI AMIRI AUGOSTINO FAILED
0070 M JOSEPH WEMA BENJAMIN PASSED
0071 M JUMA ABDALLAH PEPO PASSED
0072 M JUMA SHABANI MGAHI FAILED
0073 M KHALEED FESTO MAKOTA PASSED

0074 M MAHMOUD MSHAM MALOBA ABSENT
0075 M MUSTAPHA SALEHE KIBABANI FAILED
0076 M RAJABU ALLY NGALONGELA FAILED
0077 M RAMADHANI ALLY KAUZEIN FAILED
0078 M RAMADHANI HAMIMU JUMA PASSED
0079 M RAMADHANI IDDI PONGWA FAILED
0080 M RICHARD ALFRED NGUDUNGI FAILED
0081 M SAID KHATIBU MTUNGAKOA ABSENT
0082 M SALEHE JUMA LISIGELE FAILED
0083 M SELEMAN MOHAMED DUGILO ABSENT
0084 M SULEIMAN HEMEDI LIKOLOMBOGA ABSENT
0085 M YOHANA THOBIAS MLOWA ABSENT
0086 M ZUBERI KHALFAN KAPILE ABSENT
 
NGANU

NGANU

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
1,914
Likes
29
Points
145
Age
32
NGANU

NGANU

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
1,914 29 145
Inaamana mtihani wake hawakurudia kurekebisha.

si mbaya sana ajipange tena mwaka huu anaweza kutoka.
 
M

Masuke

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2008
Messages
4,610
Likes
144
Points
160
M

Masuke

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2008
4,610 144 160
Nadhani haya ni yale matokeo ya mwanzo

February 27, 2013 NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA Page : 581

QT 2012 RESULTS FOR : M1503 - ZUHRA ISLAMIC SEM CENTRE


0062 M HASSAN MOHAMED DALALI FAILED

SOURCE:http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2012/qt2012/qt2012.htm


cc: brave one, Mkereketwa_Huyu, Masuke, Katavi, Remmy,Jabulani,Princetx,OKW BOBAN SUNZU, Albedo,mdeki, Asprin,
Itabidi nijitolee kwenda kumwokoa huyu mzee, nikimfanyia masomo matatu tu lazima atafaulu na mengine atafanya mwenyewe.
 
Mkirua

Mkirua

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
5,665
Likes
32
Points
145
Mkirua

Mkirua

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
5,665 32 145
Halafu rekebisha title QT sio kidato cha nne!!
 
E

ego

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Messages
1,303
Likes
647
Points
280
E

ego

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2013
1,303 647 280
Kama mtu kaishia darasa la saba alafu kafikia uongozi kama alivyokuwa basi jua anakipaji cha hali ya juu maana chini yake kulikuwa na maprofesa, madokta, wenye masters, wenye degree moja mpaka wenye la saba kama yeye.

Kosa si lake ila mifumo yetu ni mibovu mzee kama huyo hahitaji kufanya mtihani wa fomu 4 tena bali kulitakiwa kuwe na kozi katika vyuo za watu kama hawa. uzoefu alionao tu ni elimu tosha kushinda elimu ya form four ila kinachomuangusha fomu four inamtihani wa kukalili na kichwa chake pamoja na majukumu aliyonayo hawezi kukalili tena
 
D

dav22

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
1,897
Likes
38
Points
145
D

dav22

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
1,897 38 145
du aisee....
 
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
20,371
Likes
1,848
Points
280
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
20,371 1,848 280
Kilaza huyo babu.
 
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
4,350
Likes
5,527
Points
280
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
4,350 5,527 280
Nadhani haya ni yale matokeo ya mwanzo

February 27, 2013 NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA Page : 581

QT 2012 RESULTS FOR : M1503 - ZUHRA ISLAMIC SEM CENTRE


0062 M HASSAN MOHAMED DALALI FAILED

SOURCE:http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2012/qt2012/qt2012.htm


cc: brave one, Mkereketwa_Huyu, Masuke, Katavi, Remmy,Jabulani,Princetx,OKW BOBAN SUNZU, Albedo,mdeki, Asprin,
mkuu aya si yamefutwa watakuwa walikosea, alafu awa necta vipi wanaweka majina badala ya namba
 
kawakama

kawakama

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
1,303
Likes
26
Points
145
kawakama

kawakama

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
1,303 26 145
hahahahhah...the home of great thinkerz
 
Ta Kamugisha

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Messages
3,299
Likes
1,354
Points
280
Ta Kamugisha

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
Joined May 17, 2011
3,299 1,354 280
Te te te Wapi WEKUNDU WA MSIMBAZI a.k.a Wazee wa Meno ya TEMBO
 
M

MKALIKENYA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,197
Likes
10
Points
133
M

MKALIKENYA

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,197 10 133
Kinachoniudhi si kwamba ameamua kusoma ili aongeze ufahamu na elimu bali anataka kukidhi vigezo vya kuwa mgombea wa Uenyekiti ndani ya klabu ya simba kwa motive hiyo naomba aendelee kufeli mpaka mwisho wa dunia.
 
CHAI CHUNGU

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
7,138
Likes
129
Points
160
Age
39
CHAI CHUNGU

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2012
7,138 129 160
Hahahahahaha.
Sasa mbona alikua anaipiga Yanga kila anapokutana nayo?au kuongoza Simba Yanga hakuitaji shule?
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,817
Likes
23,211
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,817 23,211 280
Kugombea uongozo unahitaji cheti tu cha kumaliza form four
kufaulu sio lazima
so uchaguzi ujao Simba anauchukua uenyekiti kama kawa
huyu mzee ni better kuliko Rage...
mimi ntmpigia kura
na hakuwahi fungwa na Yanga
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,068
Likes
5,280
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,068 5,280 280
nilisikia lengo lake kuu ni kugombea uenyekiti na sifa lazima uwe na kidato cha 4, kazi anayo
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,734
Likes
2,012
Points
280
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,734 2,012 280
hadi aje aate hicho cheti utasikia kama huna digrii usigombee bongo ni noma sana..
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,734
Likes
2,012
Points
280
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,734 2,012 280
Kugombea uongozo unahitaji cheti tu cha kumaliza form four
kufaulu sio lazima
so uchaguzi ujao Simba anauchukua uenyekiti kama kawa
huyu mzee ni better kuliko Rage...
mimi ntmpigia kura
na hakuwahi fungwa na Yanga
teh teh maono hayo..
 
kamtu33

kamtu33

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Messages
980
Likes
199
Points
60
kamtu33

kamtu33

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2012
980 199 60
Mpaka niliposoma coment ndio nikajua kumbe ni yule mwenyekiti wa zamani wa Simba, kazi ipo huko pande za msimbazi!
 

Forum statistics

Threads 1,273,858
Members 490,528
Posts 30,493,698