Matokeo ya form IV against tangazo la TBC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya form IV against tangazo la TBC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mikati, Feb 3, 2011.

 1. mikati

  mikati Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TBC walichakachua wakatangaza kuwa matokeo ya form iv ni mazuri kuliko ya mwaka jana. Ukwli ni huu hapo chini..Je TBC mnawaambia nini walipa kodi? Je habari zote mnazotangani walipa kodi wazihakiki kivipi?

  MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2010  DARAJA WANAFUNZI %
  I 5,363 1.51%
  II 9,942 2.81%
  III 25,083 7.08%
  IV 136,633 38.59%
  0 177,021 50.00%
  354,042 100.00%

  Jumla ya waliofaulu (Daraja la I mpaka III) 11.41%

  Jumla ya wenye Daraja la IV na wasio na Daraja: Yaani "ZERO" 88.59%
   
Loading...