Matokeo ya Form Four NECTA

Matokeo ya Form Four NECTA

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
400
Reaction score
472
Nimejitahidi kuangalia jina la mwanangu, cha ajabu majina tuliyoanfikiwa sasa, sijui wameyapata wapi hawa NECTA, hebu nisaidie kuuliza wandugu

Au tatizo ni mfumo wa mitaala au.

IMG_20200109_171527.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunatafuta matokeo ya jumla shule ipi ya Kwanzaa na kumi bora ni zipi maaana naona kuna ukimya umetanda Mwaka huuu Juu Ya hili, miaka yoooote huwa kuna mwembwe nyiiiiiiingi juuu ya shule iliyoongoza na kumi bora Lakini Kwa Leo ukimia umezid

Hawa hapa.Wanafunzi 10 waliofanya vizuri zaidi matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2019:

1. Joan Ritte
2. Denis Kinyange
3. Erick Mutasingwa
4. Rosalia Mwidege
5. Domina Wamara
6. Mvano Cabangoh
7. Agatha Mlelwa
8. Sarah Kaduma
9. Shammah Kiunsi
10. Lucy Magashi
IMG_20200109_180608.jpeg
IMG_20200109_180558.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom