Ukiangalia juu juu, matokeo haya ni mazuri. Lakini under close inspection, bado kuna shida. Pamoja na GPA na "kupanua goli", bado wanafunzi wengi hasa wa hizi shule zinazoitwa za kata, kwa asilimia kubwa wamefeli.
Tatizo huu mfumo wa GPA, ni kuwa, yule atakaye fail ni yule ambaye hakuhudhuria kabisa vinginevyo haiwezekani kufeli.