Matokeo ya diploma za afya kwa wahitimu yanatoka lini?

ntabudjo

Member
Jun 1, 2016
70
64
Ndugu zangu habarini za weekend
mimi nina mdogo wangu kamaliza chuo cha serikali tangu mwezi wa tisa diploma ya udaktari katika mojawapo ya vyuo ya serikali vilivyopo nchini lakini kumekuwepo na sintofahamu ya matokeo hayo kwa sababu mara ya kwanza nilidhani ananidanganya kumbe ni kweli baada ya kuuliza baadhi ya wadau wa elimu

Swali langu matokeo haya yanatoka lini kwa maana ilizoeleka kutoka mwezi wa 11. Swali jingine kwanini yamechelewa kutoka ?

Mwenye majibu ya maswali yangu naomba anieleweshe tafadhali
 
Wiki ijayo yatakua yametoka maana yameshatumwa vyuoni...yalichelewa kwa sababu kulikua hamna fedha za kusahihisha mitihani yao
 
Back
Top Bottom