Mjomba wa taifa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 231
- 161
Tangu kuanza kwa chaguzi za Rais katika mfumo Wa vyama vingi, REDET wamekuwa mstari Wa mbele kufanya tafiti na kutoa matokeo mara kwa Mara kuonesha mtizamo Wa wapiga kura juu ya mgombea urais anaepewa nafasi ya kushinda.
Hali hiyo imekuwa tofauti kwa chombo hicho muhimu, achilia mbali vile vidogo kama Twaweza ambavyo vyote vipo kimya uchaguzi huu.
Kama utafiti ulikuwa ukifanyika kujua mgombea gani ndani ya CCM alikuwa akipewa nafasi kubwa, ni vipi kwa uchaguzi mkuu wameshindwa kufanya tafiti na kutoa majibu kwa umma?
Ni kwanini jamii isiamini kuwa REDET wana ajenda iliyofichika?