Elections 2010 [MATOKEO YA AWALI]: CHADEMA Mbulu mambo mazuri

You are cheating yourself...Wa tz hawadanganyiki ...JK Presidaa anaapishwa week end...fungua macho-- angalia trend za matokeo.
Unachekesha, huo ni mwanzo tuu mtu wangu, haya matokeo ni bonge ya suprise kwa wana CCM, mlidhani mnaendesha mabwege, subiria bunge jipya ndiyo utatia akili.
 
God is with us for us for his glory.Sure changes are inevitble in our lovely country,and changes is yet at the door knocking.Lets keep praying so as to get changes
 
Jamani, hawa CCM wanadhani hii nchi yao peke yao. Wakumbuke sote ni watz hakuna haja ya kulazimisha kama umeshindwa kaa kando watu wapige kazi. Ila hii ya kuchelewa kutangaza jamani siyo janja ya JK anachakachua matokeo ya urais jamani?
 
Back
Top Bottom