Matokeo vipi chalenji stars na cranes?

kama Yondani ni msaada imekuaje hizo tatu zikapita?????, njoo na hoja Staz kwa ujumla imecheza fyongo na Yondani na Chuji wakiwa mstari wa mbele kwa kucheza fyongo.

goli la okwi nani alikua uchochoro, jibu maftah, goli la kiza uchochoro mafta, goli la 3 ukibisha we mwanga huyu mchawi wa kigoma sjui alikua anafanya nini golini akauachia mpira,. Haya machezaji ya simba ni janga la taifa pumbafu zao yametutia aibu leo
 
Sisi wenye uraia wa nchi mbili yaani ug na tz ushindi kotekote sawa tu.Kelvin yondani alikosa composure n omulunji wabo robie nssentongo was very clinical.Njooni bongo tuje tuendeleze marumbano ya simba na yanga

yan leo yondani ndo man of the match wetu afu kuna lijamaa linakuja na maujinga yake eti yondani kaaribu
 
goli la okwi nani alikua uchochoro, jibu maftah, goli la kiza uchochoro mafta, goli la 3 ukibisha we mwanga huyu mchawi wa kigoma sjui alikua anafanya nini golini akauachia mpira,. Haya machezaji ya simba ni janga la taifa pumbafu zao yametutia aibu leo
Ndio shida ya kuchaguwa timu ya Taifa kwa ramli, nashangaa huyu kocha Mzungu sijui ametumia vigezo gani kujaza washirikina kwenye National Team.
 
mechi bado haijaanza sasa ni muda wa nyongeza mchezo kati ya zanzibar heroes na kenya (arambee stars)baada ya dakika 90 kuwa wamefungana mbilimbili. Taifa stars na Uganda ni saa moja .

Zanzibar imeingia mashindano haya kama nchi?

Taifa stars ni sawa na Kilimamnjaro stars?

Kwa nini Tanzania inawakilishwa na timu mbili (Kilimamnjaro stars na Zanzibar heroes)katika mashindano haya?

Kwa nini Taifa stars haikuundwa kuiwakilisha Tanzania?
 
Back
Top Bottom