Matokeo rasmi jimbo la SIHA.....CCM kidedea............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo rasmi jimbo la SIHA.....CCM kidedea.............

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Nov 1, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  Rafiki yangu wa karibu Mhandisi Tuni Abraham Humphrey kanipigia simu sasa hivi kuwa mpinzani wake wa CCM ambaye ni Naibu Waziri wa Serikali za Mitaa katangazwa na Msimamizi wa Uchaguzi.............

  CCM............64%

  CHADEMA...............36%

  Hata hivyo mhandisi Tuni kaniambia ya kuwa wamepinga matokeo kwa sababu CCM walinunua shahada na wanao ushahidi na wapigakura walikuwa jioni hii wakiandamana kupinga matokeo............HUU NI UKWELI SIONI MGOMBEA KWA NINI AJITANGAZE KASHINDWA..................

  Ile YA CHADEMA ndani ya Jumba la Manispaa ni ukweli ingawaje wahusika hawajatoka kuwajulisha matokeo...........Inasemekana CCM baada ya matokeo kujumlishwa tena hawayakubali wanataka hata maboksi yafunguliwe na Msimamizi hana mamlaka hayo.......ila kwa amri ya mahakama.
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Okay huko nilijua tu!
   
 3. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Asante kwa taarifa ... hizi zinaonekan ni za uhakika.
   
Loading...