Chifunanga JF-Expert Member Joined Oct 17, 2010 Posts 290 Reaction score 102 Oct 31, 2010 #1 kata ya mwakibete mbeya mjini: slaa 3,564 kikwete 950 diwani ameshatangazwa......chadema
Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,183 Oct 31, 2010 #2 chifunanga said: kata ya mwakibete mbeya mjini: slaa 3,564 kikwete 950 diwani ameshatangazwa......chadema Click to expand... sasa leta Vaeur Brandy, Kili staki tena
chifunanga said: kata ya mwakibete mbeya mjini: slaa 3,564 kikwete 950 diwani ameshatangazwa......chadema Click to expand... sasa leta Vaeur Brandy, Kili staki tena
E engmtolera JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,149 Reaction score 1,441 Oct 31, 2010 #3 Safiiiiii sanaaaaaaaaaa saaaa ya ukombozi hiyoooooooooooo
W We can JF-Expert Member Joined Sep 4, 2010 Posts 678 Reaction score 49 Oct 31, 2010 #4 Ng'wanangwa said: sasa leta Vaeur Brandy, Kili staki tena Click to expand... Usinywe pombe Ng'wanangwa, kura zitachakachuliwa..... mpaka PRESIDA ATANGAZWE NDO UNYWE VODCA!
Ng'wanangwa said: sasa leta Vaeur Brandy, Kili staki tena Click to expand... Usinywe pombe Ng'wanangwa, kura zitachakachuliwa..... mpaka PRESIDA ATANGAZWE NDO UNYWE VODCA!
nzitunga Senior Member Joined Oct 31, 2010 Posts 193 Reaction score 53 Oct 31, 2010 #5 chifunanga said: kata ya mwakibete mbeya mjini: slaa 3,564 kikwete 950 diwani ameshatangazwa......chadema Click to expand... Wera wera ! Aibu yao aibu yangu? aibu yao. Kama kata yangu CHADEMA atashindwa nimeshapata pa kuamia.
chifunanga said: kata ya mwakibete mbeya mjini: slaa 3,564 kikwete 950 diwani ameshatangazwa......chadema Click to expand... Wera wera ! Aibu yao aibu yangu? aibu yao. Kama kata yangu CHADEMA atashindwa nimeshapata pa kuamia.
I Incognito Member Joined Oct 3, 2008 Posts 48 Reaction score 1 Oct 31, 2010 #7 Mbeya hatuna cha kuwalipa,asante sana sana.Tunawapenda:smile-big:
O Obama08 Senior Member Joined Sep 17, 2010 Posts 181 Reaction score 1 Oct 31, 2010 #8 Ng'wanangwa said: sasa leta Vaeur Brandy, Kili staki tena Click to expand... mkuu u make me laugh saaaaaaaaaaaaaaaana, mara nitasikia leta champagne Vaeur Brandy sitaki tena
Ng'wanangwa said: sasa leta Vaeur Brandy, Kili staki tena Click to expand... mkuu u make me laugh saaaaaaaaaaaaaaaana, mara nitasikia leta champagne Vaeur Brandy sitaki tena
Silas Haki JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 368 Reaction score 39 Oct 31, 2010 #9 Safi sana. Endeleeni kutupa taariza zaidi. Leo hatulali mpaka kieleweke.
R Rugemeleza JF-Expert Member Joined Oct 26, 2009 Posts 668 Reaction score 137 Oct 31, 2010 #10 chifunanga said: kata ya mwakibete mbeya mjini: slaa 3,564 kikwete 950 diwani ameshatangazwa......chadema Click to expand... Asanteni wachaguzi wa Mwakibete. Kura zenu zinafidia nyingi ambazo Kikwete amepata kwingine.
chifunanga said: kata ya mwakibete mbeya mjini: slaa 3,564 kikwete 950 diwani ameshatangazwa......chadema Click to expand... Asanteni wachaguzi wa Mwakibete. Kura zenu zinafidia nyingi ambazo Kikwete amepata kwingine.
K kilimajoy Senior Member Joined Oct 31, 2010 Posts 132 Reaction score 7 Oct 31, 2010 #11 chifunanga said: kata ya mwakibete mbeya mjini: slaa 3,564 kikwete 950 diwani ameshatangazwa......chadema Click to expand... eheeee...haya matokeo yana adabu! Ndo tunataka tuendelee kuona ya namna hii...hapa tumefunika mashimo..
chifunanga said: kata ya mwakibete mbeya mjini: slaa 3,564 kikwete 950 diwani ameshatangazwa......chadema Click to expand... eheeee...haya matokeo yana adabu! Ndo tunataka tuendelee kuona ya namna hii...hapa tumefunika mashimo..
The Dreamer JF-Expert Member Joined Feb 2, 2009 Posts 1,282 Reaction score 21 Oct 31, 2010 #12 Niko uchi wa mnyama usinitazame....ni kipigo cha karne!!!!!!!!! Walitwambia vijana ni wavuta bangh tu sasa tuone!!!!!
Niko uchi wa mnyama usinitazame....ni kipigo cha karne!!!!!!!!! Walitwambia vijana ni wavuta bangh tu sasa tuone!!!!!
Lasikoki JF-Expert Member Joined Jan 10, 2010 Posts 640 Reaction score 118 Oct 31, 2010 #13 kaaazi kweli kweli! Endeleeni kutupa mabreaking newz
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,003 Oct 31, 2010 #14 Hii difference ni balaa!
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,377 Oct 31, 2010 #15 wadau iringa vipi? mbeya mmefanya kazi nzuri sana ahsante sana wanyambala
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Oct 31, 2010 #16 Usinywe pombe Ng'wanangwa, kura zitachakachuliwa..... mpaka PRESIDA ATANGAZWE NDO UNYWE VODCA! Click to expand... Wewe ni "We can" kweli au vipi? Hakuna kuchakachua baada ya matokeo kutangazwa.....................
Usinywe pombe Ng'wanangwa, kura zitachakachuliwa..... mpaka PRESIDA ATANGAZWE NDO UNYWE VODCA! Click to expand... Wewe ni "We can" kweli au vipi? Hakuna kuchakachua baada ya matokeo kutangazwa.....................
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,662 Oct 31, 2010 #17 Jamani naombeni mnishauri nitoe kisingizio gani ili kesho nisiende job kwani kadri ninavyopokea matokeo ndo nazidi kumimina mizinga ya konyagi kinywani. Ntaamka mapema kweli. Raha tupu!!
Jamani naombeni mnishauri nitoe kisingizio gani ili kesho nisiende job kwani kadri ninavyopokea matokeo ndo nazidi kumimina mizinga ya konyagi kinywani. Ntaamka mapema kweli. Raha tupu!!
M Misterdennis JF-Expert Member Joined Jun 4, 2007 Posts 1,741 Reaction score 481 Oct 31, 2010 #18 Rugemeleza said: Asanteni wachaguzi wa Mwakibete. Kura zenu zinafidia nyingi ambazo Kikwete amepata kwingine. Click to expand... hapo umesema jambo ... kule oysterbay kwa mafisadi na kule makumbusho, ile lead ya jk imefutwa kishenzi!!!
Rugemeleza said: Asanteni wachaguzi wa Mwakibete. Kura zenu zinafidia nyingi ambazo Kikwete amepata kwingine. Click to expand... hapo umesema jambo ... kule oysterbay kwa mafisadi na kule makumbusho, ile lead ya jk imefutwa kishenzi!!!
muonamambo JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 879 Reaction score 551 Oct 31, 2010 #19 we dada lete serengeti 2 baridi.mambo yameanza kuiva
Kiby JF-Expert Member Joined Nov 16, 2009 Posts 6,932 Reaction score 4,697 Oct 31, 2010 #20 chifunanga said: kata ya mwakibete mbeya mjini: slaa 3,564 kikwete 950 diwani ameshatangazwa......chadema Click to expand... . Aah! Mungu, kuna jambo gumu usiloliweza? Angalia sasa Bwana wakifurikisha kikombe cha moyo wangu kwa furaha kuu. HERI NI NINYI MBEYA MAANA MMEWEZESHWA
chifunanga said: kata ya mwakibete mbeya mjini: slaa 3,564 kikwete 950 diwani ameshatangazwa......chadema Click to expand... . Aah! Mungu, kuna jambo gumu usiloliweza? Angalia sasa Bwana wakifurikisha kikombe cha moyo wangu kwa furaha kuu. HERI NI NINYI MBEYA MAANA MMEWEZESHWA