Elections 2010 Matokeo Mwakibete

Chifunanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
290
98
kata ya mwakibete mbeya mjini:

slaa 3,564
kikwete 950

diwani ameshatangazwa......chadema
 
Niko uchi wa mnyama usinitazame....ni kipigo cha karne!!!!!!!!!


Walitwambia vijana ni wavuta bangh tu sasa tuone!!!!!
 
Usinywe pombe Ng'wanangwa, kura zitachakachuliwa..... mpaka PRESIDA ATANGAZWE NDO UNYWE VODCA!

Wewe ni "We can" kweli au vipi?

Hakuna kuchakachua baada ya matokeo kutangazwa.....................
 
Jamani naombeni mnishauri nitoe kisingizio gani ili kesho nisiende job kwani kadri ninavyopokea matokeo ndo nazidi kumimina mizinga ya konyagi kinywani. Ntaamka mapema kweli.
Raha tupu!!
 
kata ya mwakibete mbeya mjini:

slaa 3,564
kikwete 950

diwani ameshatangazwa......chadema

.
Aah! Mungu, kuna jambo gumu usiloliweza? Angalia sasa Bwana wakifurikisha kikombe cha moyo wangu kwa furaha kuu. HERI NI NINYI MBEYA MAANA MMEWEZESHWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom