Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
Senzo alipokuja kuwa CEO wa Simba ndo hapo mabadiliko makubwa yakaanza kuonekana uwanjani,viongozi wengi walikosa upenyo wa upigaji na kumchukia,usajili mzuri ukafanyika na Simba ikafanya vizuri,baada ya Senzo kuondoka Simba akaingia Babra, aliendeleza alipoishia Senzo ndo alipoona mambo yanaanza kubadilika naye akijitoa kwenye nafasi yake.
Kuanzia hapo upigaji ukarudi na Simba ikaanza kuyumba kwenye suala nzima ya usajili na kiuongozi.
Senzo alipoenda Yanga alikuta uwekezaji mzuri wa GSM na kwa kiasi flani Yanga hawakuwa na tatizo kwenye suala lote la hela kama awali. Yanga ikaanza kubadilika pia na kuanza kufanya usajili mzuri.
Mafanikio ya Simba na Yanga yameanza kutokea baada ya uongozi mzuri wa Senzo,tatizo la Simba Senzo alipoondoka wakarudi kwenye upigaji na kuanza kuyumba uwanjani na kwenye usajili,upande mwingine Yanga ikaendeleza misingi mizuri aliyoacha Senzo na Engineer kupata vizuri somo aliloachiwa.
Senzo amekuwa na msaada mkubwa kwa ubora wa hizi timu zote mbili.
Kuna anayepinga?
Sent using Jamii Forums mobile app