Matokeo kizunguzungu

Mngoni Halisi

Member
Jan 8, 2012
8
1
Jaman me hata sielewi kuhusu haya matokeo ya kidato cha nne.Mana nasikia Wizarani yametoka lkn kwenye mtandao bado.Kama ni ivyo mbona vyombo vya habari havijatangaza kama Matokeo yametoka?
 
Dah!huku ndio kuchanganywa kabisa......!hata mimi nimesikia...

mtakuja kufa kwa presha nyie watu, nani aliwaambia matokeo yanatoka saa hiz? Matokeo anzen kuyafikiria kuanzia tarehe za mwishon kabisa za mwez
 
Back
Top Bottom