Zero Brain
Member
- Apr 20, 2013
- 39
- 3
Samahanini wadau naomba kujua km kuna mweny tetesi kuhusu matokeo kidato cha sita 2013 anifahamishe ni lin yatatangazwa?
Tokeo wik ijayo
Et nimeckia yametoka leo saa saba
Ache Unafiki! Kama hujui kitu acha kuropoka.
Humu wanatakiwa Wasomi wajibizane na si kukejeliana!
Haki ya mama CHADEMA ni janga baya kha!80 % wamepata daraja divison O
Yatatoka JANA