kilimomaarifa.tajiri
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 574
- 409
STANLEY
Mkuu naomba matokeo ya jumla ya stanley secondary school
S1670
Mkuu naomba matokeo ya jumla ya stanley secondary school
S1670
Ahsante sana mkuuCAGLIERO=S0225
Mkuu naomba nisaidie na hii s1774 tafadhali
Nai huu ni mtazamo wako na unaheshimikaWanaosoma hizo binafsi bado ni Wa tanzania.Hata hayo mazingira wezeshi unayodai yapo private schools, yameletwa na serikali.
Binafsi namshukuru Mungu, binti yangu alipata nafasi kwenye shule za "saint", nika risk kumpeleka shule ya bure, shangazi zake wakanilaum kwa uamuzi huo.wanapaswa kujiuliza upya.Elimu ni bure ama ni gharama?hizo kumi bora hapo juu hakuna hata moja ambayo ni bure.
Hiyo ni Shamsiye Islamic School.Hii shule nilidhani ni hotel,Duh!kuna watu wana raha sana!
HahahaaaaaWatoto wa DSM wanashinda instagram kupiga umbea na udaku na kutukana mitusi
In haki yao kuburuza mkia
Niandike hapa?mana siwezi attachHALE SEC s1367 Msaada jaman
Mkuu nisaidie S.2911 na S.2387 Samahanileroytz
MSITU WA TEMBO
Asante sana mkuu, hii inafunguka