duh,sidhani kama hela yote inachukuliwa na jmaa!makapuni ya simu yanahitaji dau kubwa sana kwenye ishu kama hizi,more than 50%, bado kuna software za kununua,configutations ect.na ni njia tu ya kumwezesha mtu kupata matokeo kwa urahisi zaidi na haraka,mbona mtu anaenda kwenye net anatoa 1000 kwa ajili ya hayo matokeo?nakumbuka zamani wakati mtandao haujaenea watu tulikuwa tunagombania magazeti kama njugu,yaani mtu unakaa hata week mbili hujapata matokeo yako.kuna vyanzo vingi vya kupata matokeo,si lazima kutuma sms........