Matokeo kidato cha 4 yaua tena!


Minduli ndo nini???:yo:
 
KWANI SUALA LA ELIMU YETU TUMEANZA KULILALAMIKIA LEO?WATAALAM NA WASHAURI HAWASIKILIZWI,UJENZI WA SHULE ZA KATA ULIANZA PIA KISIASA KUZIMA HOJA NA MALALAMIKO KUHUSU ELIMU,VYEMA NI JAMBO JEMA LAKINI LIMEFANYIKA NA LINATUMIKA KISIASA MNO BILA KUZINGATIA HOJA ZA WATAALAM WA ELIMU.NIKWELI TUNA SHIDA KUBWA YA KUKURUPUKA JAMBO LINAPOTUACHA UCHI.MZAZI MMOJA MMOJA ATAFANYA NN KAMA HAMNA MFUMO BORA NA IMARA WA PAMOJA KITAIFA???WAZAZI WALIAMKA KITAMBO NA WANA KIU YA ELIMU BORA KWA WATOTO WAO KIKWAZO KIPO KIMFUMO NA KUYUMBA KWA MAADIL."SERIKALI IMESHINDWA KUWEKA MISINGI BORA YA ELIMU NA MAADIL KWA JAMII".Umeuliza ninataka serikali ifanye nini?I- step down serikali yote kwani imejam,ni yenyewe imefail.
 

Siungi mkono mtu kujiua!.. Wala si sababu ya kukosa uchungu kwa kutokuwa na watoto. Angejituma kusoma angefaulu tu!...
 

Inaonekana unapenda ubishi sana wewe, kama hutojali unaweza niambia jinsia yako?
RIP mtoto.
 
Inaonekana unapenda ubishi sana wewe, kama hutojali unaweza niambia jinsia yako? RIP mtoto.
Am sor afan,ooh sor Kamanda.,siludii tena kuchangia ngoja niende likizo kama nimekuboa pamoja na kuwa sijajua ubishi wangu hadi utake jinsia yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…