tatizo siyo kukejeliwa bali ni hasira kwa serikali kumpotezea miaka yake minne bure kwenye shule za kata ambazo hazina maabara na waalimu wenye sifa!!!!kwa taarifa nilizozipata kwa jamaa alieko monduli Arusha kwamba mwanafumzi wa kike aliemaliza shule moja hapo minduli na kufeli kidato cha 4 ajinyonga na kufariki kisa matokeo mabaya ya mwaka huu.huyu nadhani atakuwa wa 3 au wa 4 sasa kujiua kutokana na matokeo mabaya.mmh nini hatima yake.naiomba na jamii na wananchi tuache kuwakejeli au kuwasemasema vijana waliofeli.kufeli sio kufeli maisha.sijui watajiua wangapi mwaka huu.duuh.poleni wafiwa
TUNISIA ALIJICHOMA RAIA MMOJA KWA KUKATAA UNYANYASAJI WATU WOTE WAKAJIHISI UCHUNGU
Acha kupotosha watu wewe! Akili zenu hizi za kukariri mambo ndiyo maana mnapachikwa ukamanda usiyokuwa na kichwa wala miguu. Yule raia wa Tunisia aliyejichoma moto alikuwa ni msomi ila hakupata kazi, akaamua kujiajiri lakini bado serikali yake ikamzingua ndiyo maana wananchi waliungana naye. Unataka kumfananisha na hawa ambao hata "ordinary level" imewashinda? Usikariri maisha. ACHA UGIZA,UHAI NI UHAI HAUJALISHI WA MBUMBUMBU WALA WA MSOMI.,KAMA MTU HAJAFANYA MTIHANI NA AMEFAULU WAONA AJABU GANI KWA ALIYEFANYA VIZURI AKAFELISHWA?*?HIYO ORDINARY LEVEL UNAYOWADHARAU NAYO WANGEFANIKIWA VIPI BILA MIPANGO MADHUBUTI YA SERIKALI?ULIVYO GIZANI NA KUJISKIA KWAKO WAONA WAO NDIO WALIOFAIL,AMKA NDUGU ILIYOFAIL NI SERIKALI SIO WATOTO WETU.
ina maana kizazi hiki ndicho chenye machungu sana!au wana mengine?hata miaka ya nyuma kuna wanafunzi walikuwa wana pata matokeo mabaya tofauti na matarajio yao,na kweli unakuta mpaka walimu wanashangaa imekuwaje!lakini walikuwa hawajiui sembuse hawa wa cku hizi kusoma hawasomi,wana kalia ku bet mipira tu ya ulaya.
Tanzania ni nchi ya ajabu sana ambayo watu wake hawaujali uhai wala kuishi na kuhisi maumivu na matatizo ya wenzi wao.,TUNISIA ALIJICHOMA RAIA MMOJA KWA KUKATAA UNYANYASAJI WATU WOTE WAKAJIHISI UCHUNGU,HAPA KWETU WANAJIUA WATOTO WETU 3-4 KWA UZEMBE WA SERIKALI KUSHINDWA KUWEKA MIPANGO DHABITI NA SAHIHI KUNAKO NYANJA YA ELIMU KUNAKOSABABISHA (WATOTO)WATU WENYE MOYO NA NIA DHABITI YA KUSOMA NA KUSONGA MBELE WANAIKOSA KWA KUNYIMWA AU UZEMBE WA WAZI LAKINI HAMNA ANAYEJALI NA HATA VYOMBO VYA HABARI HAVIONI YA KWAMBA NI HABARI KILA MTU NA LWAKE,Duh!~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~Tujali nini kwani hata wasipojiua si tutawapiga kiberiti kesho watakapokwapua T-shirt na jeans kwa njaa ya kukosa mlo???KUUA,kUJIUA INAKUWA KAWAIDA KWA MTANZANIA HII NI HATARI KUBWA NA TUIKATAE SASA.
Ni ishara tosha ya kumtaka waziri Kawambwa ajiuzuru.
Acha kupotosha watu wewe! Akili zenu hizi za kukariri mambo ndiyo maana mnapachikwa ukamanda usiyokuwa na kichwa wala miguu.
Yule raia wa Tunisia aliyejichoma moto alikuwa ni msomi ila hakupata kazi, akaamua kujiajiri lakini bado serikali yake ikamzingua ndiyo maana wananchi waliungana naye.
Unataka kumfananisha na hawa ambao hata "ordinary level" imewashinda?
Usikariri maisha.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums