Matokeo kidato cha 4 shule za kata

Feb 12, 2012
5
1
Hv hz shule za kata zilianzishwa lengo likiwa nini?maana asilimia 99.9 wanaomaliza wana div 4,wengi wao ni ziro.sasa zilijengwa kwa ajil ya kukuza watoto?
 
Hv hz shule za kata zilianzishwa lengo likiwa nini?maana asilimia 99.9 wanaomaliza wana div 4,wengi wao ni ziro.sasa zilijengwa kwa ajil ya kukuza watoto?
Kama huna habari, basi ngoja nikupashe; Haya ni mafanikio makubwa kwa serikali ya ccm, maana malengo yake ni kutuanzishia shule za kata zisizo na vifaa wala waalimu ili kuzalisha mambumbumbu wengi ili watoto wao wanaosomeshwa kwenye mashule bora na wengine nje ya nchi waje wawatawale watoto wetu milele.
 
Back
Top Bottom