Matokeo darasa la saba yanatoka lini?

Matokeo darasa la saba yanatoka lini?

Probably it will be November 25.
Don't spare it.
Note: Am just guessing by review past records.
 
uѕíwє nα hαrαkα чαtαtσkα tu utαjíσnα mkuu kαmα utαvαα ѕuruαlí mwαkαní αu lα!
 
duuh mitihani imetoka kufanyika hata mwezi na nusu haujapita unauliza matokeo kweli hili ni jipu isee....matokeo mpaka december ww
December umedanganya, sasa ni digitar na mwezi huu WA 10 yatakuwa hewan kama ya mwaka Jana. Usikariri
 
Duuu kumbe humu tupo na watoto wetu kabisa,,,mimi Ndio nakaribia miaka 10 tangu nipate degree yangu ya kwanza
Jf ni noma ...unaweza mtongoza mwanao au hata mama yako humu..

Kazi kweli.
 
Back
Top Bottom