Matokeo darasa la saba yanatoka lini?

Matokeo darasa la saba yanatoka lini?

Yorke

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2017
Posts
236
Reaction score
260
Wakuu naomba kuuliza matokeo ya darasa la Saba yanatoka lini
 
duuh mitihani imetoka kufanyika hata mwezi na nusu haujapita unauliza matokeo kweli hili ni jipu isee....matokeo mpaka december ww
 
duuh mitihani imetoka kufanyika hata mwezi na nusu haujapita unauliza matokeo kweli hili ni jipu isee....matokeo mpaka december ww
Mkuu.. matokeo yanatoka mwezi huu.. Ila yale ya kupangiwa shule ndo huko disemba .
 
Siku hizi hakuna kufeli. Kama hakukuwa na jambo lolote la kuathiri saikolojia na huyo mwanafunzi wako alifanya mtihani akiwa normal na akafeli, basi una MBUZI sio mtoto na ujipange kweli kweli na umri wa balehe huu kuepusha hasara kwa familia.
 
Back
Top Bottom