VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Hiyo I'D yako inanipa mashaka kwa unachokiongea.
Ngoja tusubiri yatoke ili tuthibitishe kauli yako
Isije ikawa mmepika vinavyopikwa, ili mtuletee uzushi. Habari uliyoileta ni ya kuambiwa, sasa je kama umeingizwa chaka itakuwaje?
Mwenye akili timamu hawezi kulipia ada ya maulizo ili anipe habari potofu.Akiwa kafanya hivyo,sitaathirika chochote.Lakini,nitamuweka katika wakati mgumu kisheria.
Mi sifikirii kam yanachakachuliwa bali yatakua yanfanyiwa stanadadization ili yakae sawa.
Na kwa nini watu wailaumu tu serikali wasichukue tahadhari kabla ili kusaidia mambo yasiharibike
wakati waalimu wanagoma kudai stahiki zao watu walifikiri kwamba mambo ynaisha kwa mtindo huo
lakini madhara yake yataonekana kama tahadhari haitachukuliwa.
huyu bwana anakosea kabisa!na anakiuka miiko ya utumishi wa ummaSerikali inabaka elimu. Jana nilipigiwa simu na Afisa mmoja wa Baraza la Taifa la Mitihani akiniomba msaada wa kisheria.Ni juu ya kutishiwa kwake kufukuzwa kazi kama hatakubali kupitisha matokeo ya darasa la saba 'yaliyotengenezwa'. Afisa huyo wa Idara ya Mitaala,pamoja na vigogo wenzake NECTA,walipokea amri kutoka Mamlaka za juu za nchi wahakikishe kuwa matokeo ya darasa la saba yanavutia. Yeye akaonesha kugomea amri hiyo. Kazi yake iko mashakani.
Sasa ananiandaa niwe Wakili wake pale atakapofukuzwa kazi kwa kugomea kupitisha matokeo yaliyochakachuliwa. Mimi niko tayari.Nimemwambia aendelee kukusanya nyaraka ili tuuwashe moto. Elimu yetu inadhalilishwa,inabakwa,inauliwa.Hatuwezi kukubali.
NB: Matokeo yatatangazwa wakati wowote kuanzia leo
Hapo kwenye red ndiyo maana nchi inayumba, maana watumishi wamekuwa wakitekeleza hata maagizo ya kipumbavu.huyu bwana anakosea kabisa!na anakiuka miiko ya utumishi wa umma
kama amepewa maagizo kutoka juu anatakiwa atekeleze ,kama anaona kitamtia hatiani akwepe sio kukataa kutamletea matatizo makubwa,maamuzi mengine huwa ya nakuwa kwa maslahii ya nchi si vizuri kuanza kuyatilia shaka
pia huyo bwana anatoa siri za ofisi kwa watu wanjee sio jambo jema kwa mtumishi wa umma aliyekula kiapo cha utii kwa serikali iliyopo madarakani
Serikali inabaka elimu. Jana nilipigiwa simu na Afisa mmoja wa Baraza la Taifa la Mitihani akiniomba msaada wa kisheria.Ni juu ya kutishiwa kwake kufukuzwa kazi kama hatakubali kupitisha matokeo ya darasa la saba 'yaliyotengenezwa'. Afisa huyo wa Idara ya Mitaala,pamoja na vigogo wenzake NECTA,walipokea amri kutoka Mamlaka za juu za nchi wahakikishe kuwa matokeo ya darasa la saba yanavutia. Yeye akaonesha kugomea amri hiyo. Kazi yake iko mashakani.
Sasa ananiandaa niwe Wakili wake pale atakapofukuzwa kazi kwa kugomea kupitisha matokeo yaliyochakachuliwa. Mimi niko tayari.Nimemwambia aendelee kukusanya nyaraka ili tuuwashe moto. Elimu yetu inadhalilishwa,inabakwa,inauliwa.Hatuwezi kukubali.
NB: Matokeo yatatangazwa wakati wowote kuanzia leo
hapo kwenye red ndiyo maana nchi inayumba, maana watumishi wamekuwa wakitekeleza hata maagizo ya kipumbavu.
kama ni mueledi unatakiwa upime maamuzi kwa sababu na wewe una mipaka yako!Hapo kwenye red ndiyo maana nchi inayumba, maana watumishi wamekuwa wakitekeleza hata maagizo ya kipumbavu.