Matokeo darasa la Saba 2021: Kagera yaporomoka, Kilimanjaro mambo safi

Kagera Sasa ndo mkoa wenye shule nyingi zaidi. Shule 960 ukizidi mikoa yote nchini
Remind you Kilimanjaro ina shule 952 so mmetuzidi 8 tu
Lakini linganisha kagera ilivyo kubwa na Kilimanjaro ilivyo ndogo
Kilimanjaro ingekuwa kubwa tungefanya maajabu ya mussa
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.....
Somo tajwa hapo juu lahusika,mkoa wa kagera ktk matokeo ya darasa la Saba 2021 umeporomoka kiasi Cha kukosekana miongoni mwa mikoa 10 iliyofanya vizuri, sii tu kimkoa Bali hâta katika halmashauri 10 bora Hakuna hata moja ya mkoa huo,mkoa wa KILIMANJARO umeendelea kuwa kidedea katika elimu kwa kutetea nafasi yake ambapo mwaka huu umekuwa wa 6 kitaifa huku halmashaur ya Moshi Mc ikiwa miongoni mwa halmashaur 10 zilizofanya vizuri
HONGERENI KILIMANJARO
CC
miss pablo View attachment 1992357
Kuna nyakati hadi chato ilitoa tanzania one daaah😂
 
Sisi wachaga tunataka kuwajengea wahaya stand
Hebu tazama hiki kijiji huko bukoba

Nyie bakini na takwimu zenu ..oh kagera ni maskini.

Watu wanajijenga hatari huko bukoba
Screenshot_20211030-204632.jpg
Screenshot_20211030-204638.jpg
FB_IMG_16355222110380761.jpg
FB_IMG_16355222064677743.jpg
 
Umepata pa kujifutia machozi mwee Ila kimikoa mmefutwa rasmi KWENYE ramani ya elimu
Ahaa wap halafu bado mkoa unatoa shule Bora Kama zote.

Itakuwa ni shule mpya labda zilizoanzisha mwaka huu.

Just imagine mwaka huu tuu zaidi ya shule mpya zaidi ya 20 zimejengwa kagera
 
Yani idadi ya kagera ni zaidi ya watu milion 5 mkoa kilimanjaro ata milion atufiki tuna waziwa kua jiji
Kagera ni million tano ya nyoko

Jiji gan mnalo nyinyi zaidi ya vilabu vya mbege vya miatano....

Moshi pamoja na kuwa na stendi lakin bado pameduwaaa Kama Tanga
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.....
Somo tajwa hapo juu lahusika,mkoa wa kagera ktk matokeo ya darasa la Saba 2021 umeporomoka kiasi Cha kukosekana miongoni mwa mikoa 10 iliyofanya vizuri, sii tu kimkoa Bali hâta katika halmashauri 10 bora Hakuna hata moja ya mkoa huo,mkoa wa KILIMANJARO umeendelea kuwa kidedea katika elimu kwa kutetea nafasi yake ambapo mwaka huu umekuwa wa 6 kitaifa huku halmashaur ya Moshi Mc ikiwa miongoni mwa halmashaur 10 zilizofanya vizuri
HONGERENI KILIMANJARO
CC
miss pablo View attachment 1992357
Wahehe wana akili sana ila huwa hawajisifu kama wahaya na wachaga kama unabisha nenda kavute matokeo ya darasa la saba miaka 10 ilopita uone watoto wa kinyalu wamo tu kwenye top 10. Kamwene watani zangu wala umbwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom