GE2010 Matokeo Biharamulo (Mavota village)

GE2010 Matokeo Biharamulo (Mavota village)

kakuju

Member
Joined
May 27, 2008
Posts
10
Reaction score
3
Urais
ccm 376
chadema 341
cuf 13

ubunge
ccm 396
chadema 322
cuf 10

udiwani

ccm 315
chadema 474
cuf 0
 
Kama hapa ni kwa Bw. Magufuki basi JK ni byebye............................
 
Sasa TZ inapendeza, maana tulichoka na chaguzi zilizopita CCM walikuwa hawana mpinzani. MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU IBARIKI CHADEMA
:smile-big:
 
Duh Asante mdau wa Mavota kwa matokeo vipi kitongoji jirani cha GAZA hapo? na runzewe je?
 
Sasa TZ inapendeza, maana tulichoka na chaguzi zilizopita CCM walikuwa hawana mpinzani. MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU IBARIKI CHADEMA
:smile-big:

Mkuu, hapo umesema kilichokuwa kinanisononesha miaka yote hii!!!
Dharau sasa kwa wenye nchi itakwisha!!!
 
Hakika mchuano ni mkali sana kati ya Slaa na JK. Matumaini yangu hali itabaki hivyo hivyo hadi mwisho. Tuvute subira.
 
Back
Top Bottom