Awali:
Ingawa matokeo rasmi hayajatangazwa, CHADEMA inaelekea wameweza kuwashinda kwa karibu kabisa CCM kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika Biharamulo hii leo.
Mpaka zinapatikana hesabu za mwishomwisho kukiwa bado kituo kimoja cha Nyabugombe B chenye wapiga kura 394 CHADEMA ilikuwa ikiongoza kwa 50.6% huku CCM ikiifuatia kwa karibu ikiwa na asilimia 48.8% ya kura zote na TLP ikiwa imejinyakulia 0.55% ya kura zote.
Matokeo yanatarajiwa kutangazwa rasmi punde
Lakini matokeo ambayo yamejumlishwa mpaka dakika hii ni haya:
CHADEMA: 17,313
CCM: 16,682
TLP: 187
Turnout ilikuwa 39.24% (incredible!)
========================================
UPDATE 1...
Matokeo ya kituo kwa kituo tuliyoyapata toka kwa mwakilishi wa JF jimboni humo yameambatanishwa hapa chini kama attachment:
========================================
UPDATE 2.
Tume ya uchaguzi imesema hivi:
CCM: 17,561 = 51%
CHADEMA: 16,670 = 48.4%
CHADEMA wameyakataa matokeo kwani wanadai matokeo ya kata 3 yamegeuzwa tofauti na walivyosaini wasimamizi wa matokeo na yalivyohesabika vituoni!
========================================
Update 3.
Tume ya Uchaguzi imemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi kwa kura zinazoonyeshwa kwenye Update ya awali ingawa CHADEMA wameyakataa matokeo ya vituo 9 kati ya vituo 237 vya uchaguzi!
========================================
Pamoja na matokeo hayo ila nafikiri mzee invisible alitu bias kidogo kuhusu ushindi wa CHADEMA.Yeye alilipoti zilizobaki kura kuhesabiwa ni 340 hivi na zilizohesabiwa zimetoka wapi? na ukiangalia ktk makabrasha ya invisible namba za chadema zinaonekana nyingi na Tume imesoma namba kiduchu.
Sitaki kuamini mambo haya kama kuna wizi ama lah! maana simwamini huyo wa tume na pia simwamini invisible kwa data zake.
CCM wanaharibu hii nchi wakijua wanavibaraka wao (police na JWT) watakao pigana kwaajili yao wakati wao na watoto wao wakiwa wamekimbilia nchi walizo ficha haela zetu walizoibaSi wizi tu, huu ni uhuni, ubabe, ujambazi nashindwa hata kupata neno sahihi linalo weza tumika kueleza ni kitu gani hiki?
CCM kwa vyovyote vile inatumia mbinu za kimafia na falsafa ya ki - machavell kushinda. na kwa bahati mbaya kuna watu wako humu kama vile wanashangilia CCM kushinda na kukejeli vyama vilivyoshindwa hasa CHADEMA.
Lakini lazima wajue kwamba sisi watanzania tumeshajua kuwa hakuna tofauti ya wabunge waliopo bungeni na hao ambao CCM kwa kutumia kila njia inajitahidi kuwaongeza.
Hao wanaoshangilia wanapaswa kujiuliza swali moja kubwa. Huyo mbunge aliyepitishwa (siyo kuchaguliwa) na tume ya uchaguzi atabadili nini kwenye haya MAUZAUZA ya BAJETI hii YENYE kila AINA ya UFISADI??
Acha ushabiki wako wewe, wewe CCM yako siyo na mwenyewe ni Macelela sio wewe wewe ni mkulima tu!! Sauti za wanyonge zitasikika zaidiHilo swali ungepaswa kujuliza mwenyewe,kama CHADEMA wangeshinda ni nini kingebadirika zaidi ya kuongezeka posho la MBOWE?
Pia nakuomba uwe unasema mimi na si sisi watanzania,mfano mimi pia ni mtanzania lakini bado siko tayari kuongozwa na CHADEMA chini ya Mbowe unasema je hapo?
taratibu jamani msije rushiana ngumi hapa.teh teh teh,wabongo na siasa bwana hatari tupu.Acha ushabiki wako wewe, wewe CCM yako siyo na mwenyewe ni Macelela sio wewe wewe ni mkulima tu!! Sauti za wanyonge zitasikika zaidi
Saaafi Saaaaaaana - wana-CCM tupo wengi hivi?===========================================================
Currently Active Users Viewing This Thread: 338 (120 members and 218 guests)
911, African, AmaniKatoshi, Balantanda, Baridijr, Bavuvi, Bint, bob, Bongolander, Buswelu, calipso, cammory, campana, canaan, chap, CreativeThinker, Damky, Dark City, Edo, elly1978, Halisi, hembe, Incognito, Iteitei Lya Kitee, Jafar, Jamil, Josh Michael, JosM, Kagoma Kuwika, Kaitaba, kamakabuzi, Kigarama, Kilasara, kiraia, Kissa Eliakim, Kituko, Kudi Shauri, KUNGUNI, Kyungululu123, Limbani, Longomba, macho_mdiliko, macinkus, Maisha, Malafyale, Malunde-malundi, mande, Manundu, masaiti, masangu, Mateso, Mathias, MaxMase, Mbassa, Mchukia Fisadi, Mfuatiliaji, Middle, Mkaguzi, MkamaP, Mkereketwa, mkomazi, Mong'oo, Mr. Zero, msaranga, Mtzorigino, Mulugwanza, MwalimuZawadi, Mzawa Halisi, Mzeeba, mzeewadriver, mziwanda, Ndaga, ndamwe, NG'WANENE, ngereja, Ngorunde, Nguli, Njilembera, Nono, Nsaji Mpoki, Ntaramuka, nyakyegi, nyati, nzala, Omarilyas, Pasco, Positive Thinker, Prince William, reyla, Riziki James, rolemodel, Safari, Sekenke, Selous, Single D, singu, sksksk, SOARES, SONARA, stanluva, Stanslaus, suelza, Tajiri Mtoto, thinktank, Tiba, tishekwavb, TreasureFred, Tshala, Tuandamane, Ukweliii, vakwavwe, Wakunyuti, Wanzuki, wihanzi, WildCard, Yebo Yebo, ygjunior
==========================================================
Data zilizokuwa zinawekwa hapa zilikuwa sio official.. zilikuwa tetesi!..for some reasons i felt like this was going to happen.
..kwamba CCM itatangazwa mshindi ktk dakika za majeruhi.
kweli CCM inaungwa mkono na wajinga!! yaani mtu anaamini kwamba hawa woote ni wafuasi wa CCm eti kwa sababu wamejiunga kwenye thread hii yenye manufaa kwao!!??Saaafi Saaaaaaana - wana-CCM tupo wengi hivi?===========================================================
Currently Active Users Viewing This Thread: 338 (120 members and 218 guests)
911, African, AmaniKatoshi, Balantanda, Baridijr, Bavuvi, Bint, bob, Bongolander, Buswelu, calipso, cammory, campana, canaan, chap, CreativeThinker, Damky, Dark City, Edo, elly1978, Halisi, hembe, Incognito, Iteitei Lya Kitee, Jafar, Jamil, Josh Michael, JosM, Kagoma Kuwika, Kaitaba, kamakabuzi, Kigarama, Kilasara, kiraia, Kissa Eliakim, Kituko, Kudi Shauri, KUNGUNI, Kyungululu123, Limbani, Longomba, macho_mdiliko, macinkus, Maisha, Malafyale, Malunde-malundi, mande, Manundu, masaiti, masangu, Mateso, Mathias, MaxMase, Mbassa, Mchukia Fisadi, Mfuatiliaji, Middle, Mkaguzi, MkamaP, Mkereketwa, mkomazi, Mong'oo, Mr. Zero, msaranga, Mtzorigino, Mulugwanza, MwalimuZawadi, Mzawa Halisi, Mzeeba, mzeewadriver, mziwanda, Ndaga, ndamwe, NG'WANENE, ngereja, Ngorunde, Nguli, Njilembera, Nono, Nsaji Mpoki, Ntaramuka, nyakyegi, nyati, nzala, Omarilyas, Pasco, Positive Thinker, Prince William, reyla, Riziki James, rolemodel, Safari, Sekenke, Selous, Single D, singu, sksksk, SOARES, SONARA, stanluva, Stanslaus, suelza, Tajiri Mtoto, thinktank, Tiba, tishekwavb, TreasureFred, Tshala, Tuandamane, Ukweliii, vakwavwe, Wakunyuti, Wanzuki, wihanzi, WildCard, Yebo Yebo, ygjunior
==========================================================
kweli CCM inaungwa mkono na wajinga!! yaani mtu anaamini kwamba hawa woote ni wafuasi wa CCm eti kwa sababu wamejiunga kwenye thread hii yenye manufaa kwao!!??
Acha ushabiki wako wewe, wewe CCM yako siyo na mwenyewe ni Macelela sio wewe wewe ni mkulima tu!! Sauti za wanyonge zitasikika zaidi